Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
InashangazaDuuuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InashangazaDuuuh
Wakikosa misaada wanauza Vipande vya nchiJamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda tabora, ujiji, zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikicjimbwa wanajiandika kabisa kwamba imam flani ndo kajenga.
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge
Kama unaongelea makanisa ya Roman Catholic huwa yanajengwa na Wazungu wa kutoka Italy kitu ambacho ni sawasawa na ulichokosoa kwa waislamu kujengewa misikiti na waarabu,kwa kifupi hujui unachokiongea.Kanisa ni moja tu katiliki. Yale mengine ni biashara
Sadaka huwa tunatoa kile mtu alichobarikiwa bila matangazo bila kulazimishwa na binadamu au bila kushinikizwa na binadamu au bila kulazimishwa kiwango cha kutoa na mtu ambaye ni kiumbe kama sisi.Lakini hamtoagi licha ya kujua faida ya sadaka. Igeni kwa wakristo hasa Roma haya mengini ni biashara za watu
We mpuuzi! Tabora uwezi fananisha na mikoa uliyo taja apo juu tabora ni njaa tupu! Yaani kupokea ndo jadi yao.Mbona UMEROPOKA sana kijana!?
Kwani hiyo misikiti na hivyo visima si wanajenga waislam wenyewe!?
Kuna tabu gani muislam kujengea ama kuchimbia wenzake visima!?
Kuna taasisi ya kikristo imewahi kuchimba visima!?
Halafu huduma za kijamii kama maji,hospitali, n.k ni jukumu la serikali sio watu binafsi.
Hali iliyoko Tabora ni kama iliyoko Rukwa,Songea,Njombe na kwingineko.
Je na hiyo mikoa yenye wakristo wengi nayo imekuwaje na hali hiyo ngumu kiuchumi!?
Yani unasema waislam wanapenda kupokea kuliko kutoa ilhali hivyo visima wamejijengea wenyewe.
We makalio kweli.
Tuliza matako kima wewe.
Hiyo mikoa yote nimetembea kuna njaa tupu hunidanganyi kitu mbwa maji wewe.
KOTE NIMETEMBEA HUKO.
Akili za kufikiri huwa hawana hao,huzibwa na chuki,utasema hizo sadaka hutolewa na wakiristoMbona UMEROPOKA sana kijana!?
Kwani hiyo misikiti na hivyo visima si wanajenga waislam wenyewe!?
Kuna tabu gani muislam kujengea ama kuchimbia wenzake visima!?
Kuna taasisi ya kikristo imewahi kuchimba visima!?
Halafu huduma za kijamii kama maji,hospitali, n.k ni jukumu la serikali sio watu binafsi.
Hali iliyoko Tabora ni kama iliyoko Rukwa,Songea,Njombe na kwingineko.
Je na hiyo mikoa yenye wakristo wengi nayo imekuwaje na hali hiyo ngumu kiuchumi!?
Yani unasema waislam wanapenda kupokea kuliko kutoa ilhali hivyo visima wamejijengea wenyewe.
We makalio kweli.
Mbona unapaniki kuambiwa ukweli,makanisa yanayojengwa na watu binafsi ni ya walokole na madhehebu mengine yasiyo na jina yale kama ya akina Mwamposa.We msen ge, makanisa yanajengws kilakukicha we unatuletea mambo ya 1995 kweli?🖕.
Misikiti yote tz imejengwa na nani!?..nani hulipia umeme,maji nk!?..ulishawahi kwenda msikitini?..ulikuta sanduku la sadaka?..ukitoa?Naam! Huu ni mhamsiko wa sisi tujiweze
Asante mtoa mada
Wale ambao hutoa, wanaombewa sana na Mungu kuendela kuwabariki, ni wakati wa sisi Waislam hasa weusi kutoa swadaka zetu ambazo Mungu ametubariki ili Mungu aubariki umma wa waislam wa Tanzania
Katika makanisa yenu yote,lipi limejengwa na waamini?..zaidi ya pesa za mzungu na serikali!Misikiti ndo mali ya mtu ndo mana anajenga mtu lakini kanisa linajengwa na waamini wote
Isevya ipo upande gani wa mji wa tabora?We mpuuzi! Tabora uwezi fananisha na mikoa uliyo taja apo juu tabora ni njaa tupu! Yaani kupokea ndo jadi yao.
Matako ya masikini ulia mbwata mbwata.Mbona unapaniki kuambiwa ukweli,makanisa yanayojengwa na watu binafsi ni ya walokole na madhehebu mengine yasiyo na jina yale kama ya akina Mwamposa.
Unajifanya mkristo mkereketwa kumbe hata makanisa yanavyojengwa hujui kichwa maji wewe.
Sisi siyo wachoyo ndugh yangu. Kutoa ni wajibu wetu. Pasre akizitumia vibaya atajuana yeye na mungu wake siyo mimi tena. Jukumu langu nakuwa nimeshatimizaSadaka huwa tunatoa kile mtu alichobarikiwa bila matangazo bila kulazimishwa na binadamu au bila kushinikizwa na binadamu au bila kulazimishwa kiwango cha kutoa na mtu ambaye ni kiumbe kama sisi.
Na kingine msikitini akitokea mtu anasisitiza watu watoe sadaka nq akataja kiwango maalumu basi inabidi aitolee maelezo je ina matumizi gani je ni ya ujenzi wa msikiti?ya kununua mazulia?Ya kusimamia usafi?
Huwa hatutoi hela kiboyaboya halafu mtu aende kununulia mafuta ya gari yake akale bata wikiendi,au mnamchangia sadaka mwenzenu anaichukua anaenda kulipia hotel ya kulala na malaya wikiendi wewe mwenyewe unahesabia hela yako uliyoitoa imeenda kwa Mungu.
Fungukeni akili msipelekeshwe kama manyumbu jifunzeni kuhoji,mtu mmoja asiwatawale kana kwamba yeye ndio amekabidhiwa funguo ya peponi na Mungu wakati na yeye hajui hatima yake siku ya mwisho na yeye atapanga foleni ya kuhukumiwa sawa na wewe tu.
Kila siku tunajenga makanisa sisi wenyewe. Wazungu wameshajitoa ndugu yangu. Sasa hivi tunajenga st joseph cathedral kule kigamboni na tunakamuliwa pesa haswa ila hatuumii kwa sababu ni wajibu wetuKama unaongelea makanisa ya Roman Catholic huwa yanajengwa na Wazungu wa kutoka Italy kitu ambacho ni sawasawa na ulichokosoa kwa waislamu kujengewa misikiti na waarabu,kwa kifupi hujui unachokiongea.
Na pia nina mashaka na umri wako huenda umezaliwa miaka ya 2000 hujui yale makanisa unayoyaona ameyajenga nani umeyakuta yashajengwa tayari.
Nakumbuka miaka ya 1995 kurudi nyuma walikuwa wale wazungu wa Italy wanakuja wanajenga kanisa kisha wanapita mitaani kuonesha sinema mbalimbali kisha wanagawa zawadi mbalimbali mitaani nadhani ulikuwa bado hujazaliwa
Kama wewe sio mchoyo ni bora ukasaidie watoto yatima,ndugu zako kijijini,majirani zako kuliko kumpelekea mtu mmoja ananunulia mafuta kwenye harrier yake wewe unarudi nyumbani kwa miguu si utaahira huuSisi siyo wachoyo ndugh yangu. Kutoa ni wajibu wetu. Pasre akizitumia vibaya atajuana yeye na mungu wake siyo mimi tena. Jukumu langu nakuwa nimeshatimiza
Tumeamliwa na biblia kutoa sadaka bila kujali inaliwa ama la. Ni wajibu na kutotoa ni dhambi kubwaKama wewe sio mchoyo ni bora ukasaidie watoto yatima,ndugu zako kijijini,majirani zako kuliko kumpelekea mtu mmoja ananunulia mafuta kwenye harrier yake wewe unarudi nyumbani kwa miguu si utaahira huu