Ndo mana hata makanisa wanajenga wao. Hawasubili mtu awajengeejamii yawakristo wanajiweza sana au?
Mbona UMEROPOKA sana kijana!?Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda tabora, ujiji, zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikicjimbwa wanajiandika kabisa kwamba imam flani ndo kajenga.
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge
Wanajiweza wapi ilhali taasisi za kikristo kibao zinapewa ruzuku na serikali.jamii yawakristo wanajiweza sana au?
Wewe binafsi umejenga makanisa mangapi hadi sasa hivi?Ndo mana hata makanisa wanajenga wao. Hawasubili mtu awajengee
kanisa nimali yamtu wee ila msikiti nimali wamunguNdo mana hata makanisa wanajenga wao. Hawasubili mtu awajengee
Misikiti ndo mali ya mtu ndo mana anajenga mtu lakini kanisa linajengwa na waamini wotekanisa nimali yamtu wee kenge.ila msikiti nimali wamungu
Ukitaka ujue kama kanisa ni mali ya mtu siku moja goma kutoa sadaka ya mchungaji ndio utajua haujuiMisikiti ndo mali ya mtu ndo mana anajenga mtu lakini kanisa linajengwa na waamini wote
Kanisa ni moja tu katiliki. Yale mengine ni biasharaUkitaka ujue kama kanisa ni mali ya mtu siku moja goma kutoa sadaka ya mchungaji ndio utajua haujui
Unaposema hivi unakuwa kwenye nafas ya Mungu?Kanisa ni moja tu katiliki. Yale mengine ni biashara
Mungu anachukia umaskini. Umaskini ni laanaInaonyesha kuwa wao wanamuabudu Mungu wa kweli, wanamtanguliza Mungu mbele kuliko pesa. Yesu hakuwa na pesa, alikuwa tu fundi seremala, wakristu wanatanguliza pesa mbele. Kwa ufupi, Waislamu Mungu mbele, pesa nyuma, Wakristu pesa mbele Mungu nyuma.
Inawezekana waislam wengi maisha yao yapo chini, hii ni historia ambapo Sheikh Mohd Said ameelezea kwa kina hapa.Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda tabora, ujiji, zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee.
Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni misaada tena vikicjimbwa wanajiandika kabisa kwamba imam flani ndo kajenga.
Jamani badilikeni vya bure ni manyanyaso halafu vinakufanya always uwe mnyonge
Lakini hamtoagi licha ya kujua faida ya sadaka. Igeni kwa wakristo hasa Roma haya mengini ni biashara za watuInawezekana waislam wengi maisha yao yapo chini, hii ni historia ambapo Sheikh Mohd Said ameelezea kwa kina hapa.
lakini muislam anaejitambua yeye ndio mtoaji mkubwa wa kutoa kuliko kupokea. uislam ndio dini pekee duniani mtu anaenda msikiti bila kulazimishwa kutoa sadaka ndio maana masheikh wanaongoza ibada ni kipato chao ni cha kawaida tofauti na wakiristo ambapo tunasoma wanavyokumba sadaka na kufanya anasa (Soma gazeti la Mwanchi toleo la Jana, leo na kesho kama Reference). UISLAM UMEWEKA MUONGOZO MZURI TU
Kutoa sadaka ni miongoni mwa mafundisho muhimu katika dini ya Kiislamu na ina faida nyingi kwa muislamu. Baadhi ya faida hizo ni pamoja na:
Kwa ujumla, kutoa sadaka ni sehemu muhimu ya ibada ya muislamu na ina athari kubwa sana katika maisha ya kiroho na kijamii.
- Kuimarisha Imani: Kutoa sadaka ni ishara ya utii na uaminifu kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kama sehemu ya ibada. Hivyo, inasaidia kuimarisha imani ya muislamu na kumkaribisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu.
- Kujisafisha Kimaadili: Sadaka inawafundisha waislamu kuhusu ukarimu, huruma, na kujali mahitaji ya wengine. Hii inawasaidia kukuza maadili mazuri na kuepuka ubinafsi.
- Kusafisha Mali: Kutoa sadaka inasafisha mali ya mtu na kumtakasa kutokana na ubahili na uchoyo. Hivyo, inamfanya muislamu awe na uhusiano bora zaidi na mali yake.
- Kupunguza Majaribu: Inaaminiwa kuwa kutoa sadaka kunaweza kuepusha na majaribu na matatizo mbalimbali katika maisha ya mtu.
- Kustawisha Jamii: Sadaka ina jukumu la kusaidia jamii maskini na wenye uhitaji. Kwa kufanya hivyo, inasaidia kujenga jamii zenye usawa zaidi na zenye mshikamano.
- Kupata Baraka: Katika imani ya Kiislamu, kutoa sadaka kunaweza kuleta baraka na kufungua njia za kheri katika maisha ya mtu.