Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

Nimeifunga au nimekupa ukweli?
NJOMBE NI KATI YA MIKOA MASIKINI AU LAAAH?
Kama unabisha nikuletee takwimu hapa
Zipo nyuzi waweza enda ukapeleka au nenda fb kabishane akuna mtu anataka kuishi tabora wazawa wenyewe wapo mikoa jilani na awataki kusikia.
 
Waache na tabia yao weww inakukera nini?ushawahi kuwapa au kuombwa.
 
Kuna ambao wanachinjiwa kondoo kila ijumaa wanagawiwa
Wamama wamevaa hijab wengi wapo kwenye foleni
 
Kwaufupi Dini zote azijaanzia Afrika!.
 
Ni kweli ila watakubishia sana.

Kuna mmoja aliwahi kuniambia ya kwamba wakristo wao wanafuata kile kiongozi wa kiroho kasema, hivyo akisema toa kwa kujiteketeza kama kule kawe basi kweli watatoa mpaka yeboyebo walizovaa.

Tofauti na waislam ambao utaulizwa ni wapi imeandikwa tutoe au kuchangia kitu fulani.
Kwa ufupi ni kua waislam wengi wanaijua dini yao kuliko wakristo, hata utoaji hauwezi kufanana maana kwenye ukristo mchungaji anaweza fanya janja janja ya kuuza maji na mafuta pesa ya kinanda ikapatikana.

Nb: Hiyo ni kwa mujibu wa muislam mmoja.
 
Wanajiweza wapi ilhali taasisi za kikristo kibao zinapewa ruzuku na serikali.
Ikiwemo wakatoliki,makanisa 99% ni ruzuku za serikali.
Huyo anayedai hivyo serikali yake imepokea vingi vya hao waislam anaowadai hawajiwezi.
Sio kweli, hiyo 99% unaweza kuweka Ushahidi wake hapa?
 
Makanisa ambayo yanajengwa na wazungu na ruzuku ya serikali!?
Au haujui kuwa serikali inatoa ruzuku ya zaidi ya bilioni moja kila mwezi kwenda taasisi ya CATHOLIC Tanzania?
Niambie kuna taasisi gani ya kiislam inapata ruzuku toka serikalini?
Sijui unachoongea lakini serikali ndo mnufaika mkuu na uwekezaji wa kanisa Catholic.
 
Maratizo makuu la Waislam tangu tupate uhuru ni mawili :-

1) Poor Western Education (Kwa miaka ya mwanzoni mpaka hivi karibuni) sio Elimu Ahera

2) Poor Management, yaani tangu mwanzoni hawakuwapa viongozi wasomi nafasi katika menejimenti ya ya Misikiti na BAKWATA kwa ujumla

Muislam mwenye akili kama safuher atanielewa lakinimangumbaru wataishia kubisha, kulalamika, kujitetea na kujaa jazba
 
View attachment 3042161
Ungefuta huu ujinga kwanza.
Hiyo comment sikukujibu wewe nilimjibu mtu mwingine na niliyemjibu ameniquote na kunijibu kwa nidhamu sio kama wewe uliyekurupuka sikujui hunijui kilichokufanya upaniki na kuja kutukana ni nini?sasa huoni kwa hicho ulichokifanya unadhalilisha wakristo wote waonekane hawana nidhamu kwa sababu yako wewe?
 
Ukimaliza lala ata wewe umenitukana vilele umeniita mlevi maybe na wewe ndo nidhamu yako?.
 
Ni wavivu haswa muda mwingi wanakuwa wanacheza bao
 
Inaonyesha kuwa wao wanamuabudu Mungu wa kweli, wanamtanguliza Mungu mbele kuliko pesa. Yesu hakuwa na pesa, alikuwa tu fundi seremala, wakristu wanatanguliza pesa mbele. Kwa ufupi, Waislamu Mungu mbele, pesa nyuma, Wakristu pesa mbele Mungu nyuma.
Sulemani alikuwa tajiri kupita kiasi
 
Wanajiweza wapi ilhali taasisi za kikristo kibao zinapewa ruzuku na serikali.
Ikiwemo wakatoliki,makanisa 99% ni ruzuku za serikali.
Huyo anayedai hivyo serikali yake imepokea vingi vya hao waislam anaowadai hawajiwezi.
Hahaaa ruzuku ya 99% hahaaaa acha uzushi mfano kcmc na hospitali nyingi za private na mashule makubwa na vyuo vingi vinamilikiwa na makanisa nyinyi waisĺamu ukiondoa chuo cha MUM mnamiliki nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…