Mkuu unetiririka vizuri sana ila para yako ya mwisho imekutia doa sana. Ebu kuwa mstaarabu, hiyo sio tabia na maadili ya Ki-Islamu. JIREKEBISHEMbona UMEROPOKA sana kijana!?
Kwani hiyo misikiti na hivyo visima si wanajenga waislam wenyewe!?
Kuna tabu gani muislam kujengea ama kuchimbia wenzake visima!?
Kuna taasisi ya kikristo imewahi kuchimba visima!?
Halafu huduma za kijamii kama maji,hospitali, n.k ni jukumu la serikali sio watu binafsi.
Hali iliyoko Tabora ni kama iliyoko Rukwa,Songea,Njombe na kwingineko.
Je na hiyo mikoa yenye wakristo wengi nayo imekuwaje na hali hiyo ngumu kiuchumi!?
Yani unasema waislam wanapenda kupokea kuliko kutoa ilhali hivyo visima wamejijengea wenyewe.
We makalio kweli.