Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?


Uislam umejengwa kwa misingi ya kusaidia masikini; Walio nacho wasaidie wale ambao hawana
Kama unatumia akili yako vizuri, umetolea mifano maeneo ambayo watu wake ni masikini au wanauchumi mdogo na hawajaelimika vizuri
Kuna maeneo mengi tu yenye waislam lakini hiyo misaada haipelekwi kwa sababu tayari wanajiweza...
 
Kuna siku nilipita mitaa fulani nikakuta akina mama wengi wanatoka kwenye nyumba fulani...wote walikuwa wamevaa ushungi wnagawana hela kama buku tano tano hivi huku wakilalamika wametoka mbali...
 
Ungechukua mke halafu unabadilisha tena
 
Tumeamliwa na biblia kutoa sadaka bila kujali inaliwa ama la. Ni wajibu na kutotoa ni dhambi kubwa
Umeona sadaka zingine hizi za wakristo
 

Attachments

  • Screenshot_20240715_131913_Instagram.jpg
    668.9 KB · Views: 0
Kuna aina ngapi ya uraia!?
Au umeanza ubaguzi tena!?
Said Salim Bakhressa anahesabika kama raia wa nchi gani!?
Nahisi nazungumza na kilaza.
Unajua tatizo la mtanzania anadhani yeye kwa vile ana ngozi nyeusi basi ndiyo mtanzania halisi na waliyo na ngozi nyeupe si watanzania halisi.

Hajui kwa hao hao wahindi na waarabu kuna mababu zao wapo hapa Tanzania tangu miaka ya 1800 naa mpaka leo.
 
Tatizo kubwa wanalopata wasio Waislam ni kutaka ushindani wa nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi. Na Waislam tunaingia mkenge kuwafata ujinga wao.

Kinachotakiwa ni kuwaeleza ukweli wa dini pekee duniani, Uislam, ni upi.

Cha msingi ni upi ukweli na upi siyo ukweli.
 
Kuna dhima ya matajiri na wasio nacho ...Uislamu haulazimishi tu kutoa kila kitu chake hata hija hautakiwi kwenda huku familia yako haina kitu kabisa .

Matajiri ndio wanapigania jihad ya kujitolea sehemu ya mali zao
 
Unajua tatizo la mtanzania anadhani yeye kwa vile ana ngozi nyeusi basi ndiyo mtanzania halisi na waliyo na ngozi nyeupe si watanzania halisi.

Hajui kwa hao hao wahindi na waarabu kuna mababu zao wapo hapa Tanzania tangu miaka ya 1800 naa mpaka leo.
Tena utakuta wengi sana ya watu weusi hawana asili ya Zenjbar, wengi walianza kuletwa na Mjerumani ikiwa tayari Tanganyika, kama manamba.

Masalia wa manamba ni wengi sana Tanzania. Wanajijuwa.

Kihistiria tunaambiwa mbantu huku mashariki ya Afrika siyo kwao, alikuja tu, ajiulize wenyeji walikuwa kina nani? Historia ipo wazi kabisa, aende Bagamoyo, Kilwa, ununio, na karibia pwani yote ya mashariki ya Afrika, akaulize magofu ya kina nani hayo waliokuwa wenyeji hapo?

Jibu watakalopata, wataufyata.
 
 

Attachments

  • fbsaver.mp4
    4.7 MB
  • ssstik.io_@prophet_atigya_1719845065238.mp4
    2.5 MB
Sawa Mkuu
 
Baadhi ya mafunzo ya Kiislam:

1) Mkono wa juu ni bora kuliko wa chini.

2) Kijana ambae ni mzima wa viungo na akili haruhusiwi kuomba omba.

3) Makundi wa wtatu wanaofaa kupewa Zaka (sadaka) yapo wazi kwenye Qur'an.

Wanaoenda kinyume na hayo wanakuwa wana asi.
 
Mkuu hao wa huko Temeke na Buguruni ni njaa tu, yaani wana umaskini uliopitiliza. Malaya hasa ni wale ambao umalaya kwao ni kazi kama kazi zingine za kuwaingizia kipato kwenye shughuri hiyo, ili kuwaongezea kipato katika maendeleo yao kimaisha. Hao wa Buguruni na Temeke ni shida tu,lakini sio hiari yao, na ndio maana kama aki-bahatika akaolewa anakuwa MKE MWEMA.
 
Mkuu hakuna malaya anayefurahia kuwa malaya.
Malaya wote ni njaa zimewakaba kiasi wamekosa namna mpaka kuuza utu wao.
Ila sawa tuna uelewa tofauti wa mambo.
 
Poor Western Education (Kwa miaka ya mwanzoni mpaka hivi karibuni) sio Elimu Ahera
Mkuu hapa fafanua ili nipate kukuelewa zaidi nini umekusudia.
Poor Management, yaani tangu mwanzoni hawakuwapa viongozi wasomi nafasi katika menejimenti ya ya Misikiti na BAKWATA kwa ujumla
Mkuu hili ni tatizo kubwa sana kwetu waisilamu,hasa viongozi wakubwa wa Dini hawana elimu ya kutosha ya Kisecular.

Ndio maana hata madrasa nuingi za bweni ukienda utakuta ni vijana waliofeli darasa la saba.

Kuna mwaka nilikuwa naenda kusoma msikiti mmoja visiwani,msikiti mzuri,vija na wanakula vizuri ila asilimia 90% ya vijana wanaosoma pale bweni basi ni age ambayo walitakiwa wawepo sekondari wanasoma.

Il hawa hawa ndio tunakuja kuwaandaa waje kuwa mashekhe wa baadae,jambo linaloshangaza sana kwani kuna sehemu watakuwa wanapwaya.

Hii ni changamoto ambayo pengine hata bakwata nao wengi wao wamo humu na vyombo vingine pi
 
Asante sana tena saaanaaa,Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri.Pia soma Malaki 3:6-12.Asante.
 
Kuhusu Western Education nimemaanisha Elimu ya kidunia isiyokuwa ya Dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…