Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Unawajua mafisadi papa na maadui wa wazalendo? Wapo mafisadi wa kawaida na wapo mafisadi wasio maadui wa uzalendo na wazalendo...huyo makamba ni fisadi papa na mmoja wapo wa maadui wakubwa wa wazalendo na uzalendo..ndiyo sababu anachukiwa sana.
 
Ni michezo michafu huko ccm Toka kipindi cha kambarage, na yy January mbona kwenye issues za fitina na mizengwe amewafanyia wenzie sana.

Kwani mumesahau ,huko uvccm wanakofundishwa itikadi za chama, utasiki oo kijana kalelewa nachama Yani ushindwe kulekewa na wazazi wako , uje ulelewe na wahuni wa mjini,

Lile darasa usije ukapeleka kijana wako atakuwa ni mshezi sana kwenye Siasa .

Siasa za tz zimejengwa kifina, Siasa za mizengwe,

Wanasiasa wa tz Badilikeni,
Msitake kupata mserereko kwa kuonewa huruma na wananchi

jengeni hoja Kwa ajili ya maendeleo ya tz, tuwaone muna kitu gani kichwani kwa ajili ya tz,

Sio kila siku kuandikiwa speech na kufundishwa kuongea
 
Unawajua mafisadi papa na maadui wa wazalendo? Wapo mafisadi wa kawaida na wapo mafisadi wasio maadui wa uzalendo na wazalendo...huyo makamba ni fisadi papa na mmoja wapo wa maadui wakubwa wa wazalendo na uzalendo..ndiyo sababu anachukiwa sana.
Unaweza kufafanua ni kwanini anakuwa adui wa uzalendo? Au aliwahi kuhatarisha amani ya taifa?
 
Kwa maana hiyo wote serikalini ni mafisadi, sasa kwanini nguvu na chuki kubwa imeelekezwa kwa Mgosi? Au kuna jambo nyuma ya paazia?

Hakuna asiyesemwa mkuu inategemea na tukio ,hata Said bagaile na yeye anasemwa ,msomali wa BBT naye amepiga mabilioni,hakuna kiongozi ambaye asemwi kwa ufisadi ila hao inawezekana mileage ya upiga ni kubwa.
 
Ngoja waje
 
Kweli ukiwa kiongozi lazima usemwe, lakini kama nia ya kusema ni kupinga ufisadi, basi ni vyema wote wasemwe kwa usawa, sio kubagua nani asemwe nani asisemwe.
 
Ni kibaraka wa genge la raia feki anatumiwa na mafisadi wanalo hujumu taifa kwa maslai yao binafsi.
Hilo genge feki naamini asilimia kubwa lipo nje ya serikali, pia usisahau ndani ya serikali kuna genge hatari zaidi kuliko hilo, (The kitchen cabinet)
 
Kama ni fitina basi tunapo elekea tutaona fitina nyingi zaidi, lakini mafisadi wanapaswa kukemewa bila kubagua nani asemwe nani asisemwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…