ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio anataka kugombea Urais?January anachukiwa na wanao mchukia hawajui wanamchukia kwa sababu gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio anataka kugombea Urais?January anachukiwa na wanao mchukia hawajui wanamchukia kwa sababu gani.
Kumbe anataka kugombea urais?Ndio anataka kugombea Urais?
Kama hiyo ndyo sababu, basi alipaswa kuchukiwa na wanaohusika na hiyo nafasi, lakini nashangaa wananchi ndiyo wanaongoza kumsema vibaya, au tayari wamelishwa sumu?Ukiitaka nafasi namba 1, unakaribisha uchafu usioujua.
Unawajua mafisadi papa na maadui wa wazalendo? Wapo mafisadi wa kawaida na wapo mafisadi wasio maadui wa uzalendo na wazalendo...huyo makamba ni fisadi papa na mmoja wapo wa maadui wakubwa wa wazalendo na uzalendo..ndiyo sababu anachukiwa sana.Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.
Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?
Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.
Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Bado hiyo kauli haitoshi kubeba chuki dhidi yakeKisa baba yake! Alisema watu wazuri hawafi
Chuki ni kawaida... Huwezi kupendwa na kila mtu ni kitu ambacho hakiwezekani....Chuki zipo
Unaweza kufafanua ni kwanini anakuwa adui wa uzalendo? Au aliwahi kuhatarisha amani ya taifa?Unawajua mafisadi papa na maadui wa wazalendo? Wapo mafisadi wa kawaida na wapo mafisadi wasio maadui wa uzalendo na wazalendo...huyo makamba ni fisadi papa na mmoja wapo wa maadui wakubwa wa wazalendo na uzalendo..ndiyo sababu anachukiwa sana.
Kwa maana hiyo wote serikalini ni mafisadi, sasa kwanini nguvu na chuki kubwa imeelekezwa kwa Mgosi? Au kuna jambo nyuma ya paazia?
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali.
Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye sio Fisadi? Nani ambaye hali kwa urefu wa kamba yake?
Wengine wanasema ni mlozi, sasa katika serikali hii nani haendi kwa sangoma? Wengine wanaenda mpaka Mombasa kuchinja Ngamia na vifaranga.
Nimegundua ipo nguvu kubwa inaelekezwa kumchafua, sijui alikosea wapi.
Kweli ukiwa kiongozi lazima usemwe, lakini kama nia ya kusema ni kupinga ufisadi, basi ni vyema wote wasemwe kwa usawa, sio kubagua nani asemwe nani asisemwe.Hakuna asiyesemwa mkuu inategemea na tukio ,hata Said bagaile na yeye anasemwa ,msomali wa BBT naye amepiga mabilioni,hakuna kiongozi ambaye asemwi kwa ufisadi ila hao inawezekana mileage ya upiga ni kubwa.
Ni kibaraka wa genge la raia feki anatumiwa na mafisadi wanao hujumu taifa kwa maslai yao binafsi.Unaweza kufafanua ni kwanini anakuwa adui wa uzalendo? Au aliwahi kuhatarisha amani ya taifa?
Hilo genge feki naamini asilimia kubwa lipo nje ya serikali, pia usisahau ndani ya serikali kuna genge hatari zaidi kuliko hilo, (The kitchen cabinet)Ni kibaraka wa genge la raia feki anatumiwa na mafisadi wanalo hujumu taifa kwa maslai yao binafsi.
Kama ni fitina basi tunapo elekea tutaona fitina nyingi zaidi, lakini mafisadi wanapaswa kukemewa bila kubagua nani asemwe nani asisemwe.Ni michezo michafu huko ccm Toka kipindi cha kambarage, na yy January mbona kwenye issues za fitina na mizengwe amewafanyia wenzie sana.
Kwani mumesahau ,huko uvccm wanakofundishwa itikadi za chama, utasiki oo kijana kalelewa nachama Yani ushindwe kulekewa na wazazi wako , uje ulelewe na wahuni wa mjini,
Lile darasa usije ukapeleka kijana wako atakuwa ni mshezi sana kwenye Siasa .
Siasa za tz zimejengwa kifina, Siasa za mizengwe,
Wanasiasa wa tz Badilikeni,
Msitake kupata mserereko kwa kuonewa huruma na wananchi
jengeni hoja Kwa ajili ya maendeleo ya tz, tuwaone muna kitu gani kichwani kwa ajili ya tz,
Sio kila siku kuandikiwa speech na kufundishwa kuongea
Aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje, mbunge wa bumbuli.Ndio nani huyo January?