Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Nje ya mada kidogo:
Nani alihusika kifo cha Deo Filikunjombe?
Makamba alijiharibia baada ya kushangilia kifo cha Magufuli na kuponda mradi wa umeme.
Aende chato aombe msamaha vinginevyo asahau urais
 
Baba yake anamponza kuwananga viongozi wakuu. Huu mtindo wa kutengeneza mfumo wa kurithishana unatukera sana sisi raia.
 
Januari hana uwezo wowote. Isingekuwa JK na urafiki na Baba yake mzee Makamba Yusuf saa hizi angekuwa msanii wa singeli tu kama Meja Kunta.

Yaani Samia kampa uwaziri wa nishati baada ya kutemwa na Magufuli. Yeye baada ya kufanya kazi kwa ajili ya Watanzania alikwenda pale kukusanya fedha za ufisadi ili aje agombee uRais wa Tanzania dhidi ya mama Samia mwaka 2025.

Badala yake nchi ikaingia gizani kwa mgawo wa umeme wa miezi 6. Baada ya kuhamishwa wizara kwenda Mambo ya Nje akachukia na akaanza kumtukana mama kwa kumtumia Mange Kimambi wa California kupitia page zake za Instagram.

Mtu mwenyewe hana vyeti baada ya kufukuzwa Galanos kwa kuiba mitihani eti ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania??

Januari nakuhakikishia uRais wa Tz utausikiliza kwenye redio na TV tu kama marehemu Lowasa na Seif Sharrif
 
Nje ya mada kidogo:
Nani alihusika kifo cha Deo Filikunjombe?
Makamba alijiharibia baada ya kushangilia kifo cha Magufuli na kuponda mradi wa umeme.
Aende chato aombe msamaha vinginevyo asahau urais
Mkuu, mbona nasikia Deo filikunjombe alipewa helicopter ambayo ilitakiwa itumike na JPM, inamaana Ile ndege iliandaliwa na akina January ili kumdhuru JPM?

Mkuu Nifungulie hii code tafadhali
 
Kama ni fitina basi tunapo elekea tutaona fitina nyingi zaidi, lakini mafisadi wanapaswa kukemewa bila kubagua nani asemwe nani asisemwe.
Mkuu Siasa za tz ni hatarishi sana ukikaa kizembe unatema bungo, cunajua sera yetu ni kanyaja Twende.
Lkn hata upinzani nao ni hovyo TU, Full ushezini
 
Kama hiyo ndyo sababu, basi alipaswa kuchukiwa na wanaohusika na hiyo nafasi, lakini nashangaa wananchi ndiyo wanaongoza kumsema vibaya, au tayari wamelishwa sumu?
Kampeni za Jakaya Kikwete na "mtandao" wake zilikuwa chafu.
Watu walipakaziwa mambo ya kizushi magazetini na sehemu nyingi tu.
La January halitakuwa la kwanza.
 
Mkuu sasa nimetambua kwamba sababu ya haya yote ni kiti cha urais, muda ni mwalimu mzuri, wacha tusubiri
 
January fanya mambo mengine, kuna maisha nje ya siasa..... Ni kweli hatukutaki
 
Ni conclude tu kusemwa hakuna ambaye hawezi kuchukiwa hapa duniani kuna msanii mmoja aliiimba bora "Wakuu heshimu wa kukupenda ipo siku watakuchukia"
 
January Makamba yuko kimya sana afatiliwe anafanya nini isije ikawa anatafuta mteja wa kumuuzia Mlima meru
Kama anataka kuuza mlima meru, inamaana yeye ndiye aliuza bandari na loliondo?
 
Kawaulize au nenda BUMBULI kaangalie maendeleo aliyoyafanya Kisha urudi tena😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…