Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Sidhani kama kuna ukweli katika hoja hiyo, kama ambavyo hutaki kutambua mchango wa wengine katika agenda hiyo, nao pia kwa mizani yao, watafanya vile inavowapendeza.
Mwinyi, Mkapa na Kikwete walifanya nini cha kukumbukwa ili kuanzisha mradi huu mkubwa?
Mimi sijawahi kuunga mkono utekelezaji wa mradi huu lkn najua ni njozi ya mwalimu ambayo hakuna aliyethubutu kuitekeleza isipokuwa mwendazake.
Tuache unafiki na kuwapamba wasiopambika.
 
Mimi sioni tatizo la mtu kutoa nishani kwa watu anaofikiria wamechangia ujenzi wa bwawa hata kifikra tu
 
Hata wapambe wanajua, ndio maana Wanatumia nguvu nyingi kukwepa. Sisi tushawajua.
 
Jamaa ni mchawi ,sema yeye hachawii usiku kama Hawa wanaotusumbua.

Ni mtu wa waganga sana sana .


Mnakumbuka baada ya uchaguzi wa JPM alivyoanza kumponda JPM Kwa vile vipicha vyake !!!


Ana Roho kama ya Baba yake, waswahili tu hao.
Huu ukoo unaongoza Sasa kuchukiwa hapa bongo. Itabidi wakaoge mara saba.
 
Makamba ni mwanaume wa kiislamu anasoma aya inayompa manufaa kama alivyosema mama yao.
 
Acha kuuonea moyo kwa kuweka majitu katili ndani yake.
 
Kama hawakufanya kitu, kwanini kila mkizungumzia hili lazima muwahusishe?
 
kamuulize mzee Makamba ambaye bado akimuwaza magufuli anaanza kuweweseka
Akiweweseka Utingo unapata maji na umeme? Ifike wakati tuachane na mambo yasiyo na matokeo chanya kwenye jamii zetu.
 
Walimpaje ushindi perfomance ya jpm ipo kwa wananchi tangu akiwa waziri .kama makamba alimpa uraisi jpm nadhani 2025 watampa tena mama tuone.
 
Akiweweseka Utingo unapata maji na umeme? Ifike wakati tuachane na mambo yasiyo na matokeo chanya kwenye jamii zetu.
umedandia gari kwa mbele. hilo ni jibu nilikuwa nampa bwege mmoja
 
Reactions: Tsh
hamuwezi kumfufua huyo choko wenu???
Hivi mzee km yule tena alikua kiongozi na pia ni mzazi ana watoto na familia ww unamuita choko 🥱🥱.. kibaya zaidi mzee wa watu katangulia mbele za haki [emoji24][emoji24]..lakini ndo tabia zenu watoto wa guest house heshima hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…