Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

Kwa kuwa haujui unalolinena, Sio kosa lako, ila siku ukija kujua, utalia na kusaga meno.
Kusaga meno kwa yesu wa picha za kanisani?,nani alikwambia huyo ndio yesu mwenyewe?
 
Jamani magufuri amekufa hebu tuondoleeni upumbavu wake hapa
 
Hivi kama hayati JPM angekuwepo January Makamba angepiga dili kama la Mahindra Tech? Bil 81 na ushee ambazo Mahidra tech walikula nae bila kazi yoyote ya maana kwa taifa letu.

Leo hii anadiriki kumchafua hayati JPM kwa chuki tu.

Kisa rais aliyepo anafumbia ufisadi anaofanya.
 
Una ushahidi?

Yesu alipofika karibu aliuona Mji akaulilia akisema laiti ungelijua yapasayo laiti ungelijua Amani
 
Jamaa alivyokuwa waziri wa mazingira awamu ya Magufuli alipinga ujenzi wa bwawa la umeme, ila ktk awamu ya mama akapewa uwazir wa nishati mgao ukaanza na bwawa likaanza kusua sua mara sijui tunasubir clane toka china
 
Jamaa alivyokuwa waziri wa mazingira awamu ya Magufuli alipinga ujenzi wa bwawa la umeme, ila ktk awamu ya mama akapewa uwazir wa nishati mgao ukaanza na bwawa likaanza kusua sua mara sijui tunasubir clane toka china
Makamba Jr ni hazard kwa taifa letu
 
Thubutu!
 
Makamba ndio anatajwa kumiliki hekalu kubwa huko Dubai la mabilioni ya dola, hawa watu wanalewa sana na utajiri wa kidunia wakisahau kuwa haya maisha ni mafupi sana.

Dada yake Mwamvita ni mponda maisha kupindukia kiatu akikivaa Kim Kardashian jumamosi jioni akaweka picha kwenye kurasa zake za mitandaoni Jumatatu mchana Mwamvita ataweka picha amekivaa kiatu kile kile mtandaoni.

Hizi starehe za dada mtu zina presha ya moja kwa moja kwenye cheo cha kaka mtu.
 
Pia kuna muda wao kusaga meno, believe in me,muhimu wapewe maisha marefu
 

Daaaah!! thetallest uliona mbali sana. Mungu aendelee kukupa macho ya darubini kali zaidi.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…