Una zani hata huku Tz hawaendi missions? Hawaendi mafunzo?Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Alohusika na opp entebe na pm wa israel ni mtu na kaka siyo mtu mmojaIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Risasi aiangalii wazifa... Wala umepita missions ngapi...Kaka yake na siye yeye. ndiye mwanajeshi pekee wa Israel aliyeuawa kwenye operesheni hiyo.
Huyu katokea kwenye kikundi cha Haganah. Hivi Hamas na Hezbollah vinavyoitwa vikundi vya magaidi, hata Israel miaka ile haina territory rasmi ilikuwa na kikundi cha kigaidi kwa mantiki hii ndicho Haganah. Hilo kundi ndio lilikuja kuwa jeshi la Israel baada ya kutangazwa kuanzishwa kwa taifa hilo mwaka 1948.View attachment 1784987
Moshe Dayan Mzee wa kijicho kimoja, alikua hatari sana huyu mwamba..!!!
Huwa sifatilii sana jeshi la Israel sina mwamko nalo. Nakomaa na iliyokuwa Nazi Germany ambayo ni very complex, na pia RussiaHebe weka mtiririko wa vyeo vya jeshi hapa na sifa zao toka chini hadi rank ya juu kabisa!!!
Umechanganya mzee, aliyeshiriki ni kaka yake, na aliuawa.Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Muundo wa jeshi la Israeli siyo sawa na muundo wetu ambao tumeunganisha muundo wa Marekani na uingereza lakini tukaegemea marekani zaidi ya UingerezaNilikua naangalia vita inayoendelea huko 'Middle East' kati ya Israel na wapalestina.
Nimegundua Jeshi la Israeli halina Four Stars General, Mkuu wa Jeshi la Israeli ni Lieutenant General (3 Stars General)
Kwa nininiko hivyo na wakati Majeshi ya Kiafrika ambayo ni very weak lakini yana mpaka Marshall?
Mkuu aliekuwepo kwenye operation entebe ni Yonathan Netanyahu ambeye ni Kaka yake Benjamin Netanyahu waziri mkuu wa sasa na Kaka yake huyo alifia entebe uwanja wa ndege pale wakat wakiwa washawaokoa mateka wao alikuepo Askari mmoja alikua kwenye control tower ya uwanja hawakumuona ndo akamshut jamaa that's why Ile operation walikuja kuipa jina operation Yonathan kumuenziIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Kaka yake Jonathan siyo Ben ....na alikufaIsrael upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,
Waziri mkuu wa sasa hv ni komandoo,special forces,alishiriki kwenye operation ya entebe ya kuokoa wanaisrsel waliokuwa wametekwa.
Sio hapa kwetu ukikuta general ana likitambi kama pipa,hajawahi kwenda kwenye mission yoyote,zaidi ya kukaa ofcn,kuingiza ndugu zake jeshini,na kula rushwa tu.
Serious?Hakuna sehemu nimemzungumzia waziri mkuu wa sasa,soma vizuri uzi wangu mkuu.
Kuhenyea kivipi wakati mageneral wa israel hawaendagi frontline wanabaki ofisini nyuma ya computerKule vyeo ni vya kuhenyea wakati kwetu ni kugawiwa tu
Siyo Haganah peke yake kulikuwa pia na Palmach na vingine.Huyu katokea kwenye kikundi cha Haganah. Hivi Hamas na Hezbollah vinavyoitwa vikundi vya magaidi, hata Israel miaka ile haina territory rasmi ilikuwa na kikundi cha kigaidi kwa mantiki hii ndicho Haganah. Hilo kundi ndio lilikuja kuwa jeshi la Israel baada ya kutangazwa kuanzishwa kwa taifa hilo mwaka 1948.
Ile vita ya kwanza kabisa Moshe alishiriki, kipindi hawana marubani wa kutosha Wayahudi kutoka majeshi kadhaa ya kizungu wakaja kuunda air force personnel haraka. Moshe kapigana vita mpaka ya mwishoni dhidi ya Misri alipokuwa Defence Minister. That means kapigana vita muhimu zote za Israel, achana na dhidi ya hawa Hamas wenye maroketi yalitotengenezwa kwa kuchomelea mabati.
Kweli siyo wewe ni mchangiaji fulani.Hakuna sehemu nimemzungumzia waziri mkuu wa sasa,soma vizuri uzi wangu mkuu.
Siyo kweli,Sharon 1967 aliongoza infantry kuingia Gaza.Kuhenyea kivipi wakati mageneral wa israel hawaendagi frontline wanabaki ofisini nyuma ya computer
Zama hizo, sio zama hiziSiyo kweli,Sharon 1967 aliongoza infantry kuingia Gaza.
Hayo unayosema yako sawa mkuu ila ntaka kukukosoa kidogo tu. Aliyeshiriki Operation ya Entebbe ni kaka yake mkubwa Benjamin Netanyahu aitwaye - Yonatan Netanyahu(Lieutenant Colonel). Yeye ndiye alikuwa commander wa ile spec ops team iliyoenda Uganda na ni yeye pekee yake aliyepotea maisha siku hiyo.Israel upewi nyota au kupandishwa cheo kwa kukaa darasani au kisiasa,kule lazima ufanikishe mission maalum,au upate mafunzo yahari ya juu kiasi fulani,