Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

Israel viongozi wake wa jeshi huwa wako competent mno sio kama Nigeria uko. Hata Ufaransa ile vita ya pili ya dunia walikuwa na majenerali hamna kitu mpaka alipojitokeza Charles de Gaulle akiwa uhamishoni
Dah, umenikumbusha mbali ulipomtaja Charles de Gaulle πŸ‘πŸ½
 
Ina maana mkuu Netanyahus kule Entebe walikuwa wawili? Yona Netanyahu alikuwepo na ndiye aliyeuwawa kwenye tukio hilo. Vipi kuhusu Benyamini naye alikuwepo?
Benjamin hakuwepo Entebbe, alikuwa anaongoza kikosi chake cha spec ops kingine. Ndugu yao wa mwisho ndiye aliyekuwa team member kwa unit ya Sayeret Matkal, hakuwahi kuwa commander kama wenzake wawili.
 
... ha ha ha! Umenikumbusha Iddris Derby Marshal of Chad aliyeuwawa kwa mkuki na mwasi mmoja hivi haribuni siku chache kabla ya kuapishwa tena kwa awamu ya sita ya urais Chad!
Pale kuna mchezo mbaya ulifanyika, na yule kijana wake anajua. Vipi ukubali chief awe mbele kuongoza strike na yeye hata bado ako madarakani kama rais? Hivi hakukua na vijana mahiri wangekuwa frontline? Africa hii dadeq! 🀣 🀣 🀣
 
... kaka; Rav Aluf (Lieutenant General), the highest military rank in IDF ni zaidi ma-Field Marshall unaowajua wewe! Kuwa Lieutentant General isikuchanganye ukadhani ni sawa na Lieutenant General wa shitholes! Hizo ni namba nyingine!
Hajui licha ya Benjamin na nduguze kuwa viongozi wa vikundi Special vya kijeshi na kufanya Operation kibao successful, hakuna aliwahi kufikia hicho cheo cha Rav Aluf. Ingekuwa nchi nyingine hao jamaa wangekuwa na minyota kibao mabegani! 🀣 🀣 🀣
 
Hata huyu alishiriki,brother wake ndio alipoteza maisha uwanja wa vita.
Nafikiri familia yao wote,watoto wa kiume ni members wa elite force
Acha uongo, Benjamin hakushiriki Entebbe, hakuwezi kuwa na ma commander wawili kwenye elite commando unit moja ya Sayeret Matkal. πŸ˜‚
 
Hapana yule alikuwa kaka yake na alikua operation kamanda ,kabla ya oparation kifanyika alijua kabisa yeye atakufa maana kabla ya operation walifanya rehersal ikaonekana kuna watu watapigwa risasi akiwemo yeye
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tupe link ya hiyo rehersal basi...! 🀣
 
Wacha hata sheria yao mkuu, hiyo iko kila pahali, huwezi pata kundi/Unit moja ya special ops, sana sana huwa na members 4-5, ikiwa na Commander wawili. It's a No!
 
Mwamba unatuuza aliyeshiriki ni al mahrum kakake Jonathan ' Yono ' Netanyahu....mwaka 1976 mission in Entebbe alikuwa military colonel wa Special forces ilipotekwa ndege ya Air France..
Benjamin'Bibi' Netanyahu ni mchumia tumbo kama wanasiasa wengine tu..ndo maana hata Benny Gantz alimpiga kwenye election kaishia Ministry of Defence ambayo kwa Israel ndio roho na survival ya nchi....
 
Siyo Haganah peke yake kulikuwa pia na Palmach na vingine.
Hivo vikundi vingine hata visingekuwepo kazi zingeenda. Haganah ndio lilizusha revolts kwa Waingereza, likavamia maeneo ya Palestinians na kulinda Jewish settlements. Yitzhak Rabin mwenyewe alikuwa member wa kundi hili. Hili ndio lilikuja kurasimishwa kuwa jeshi, hivo vingine role yake ndogo.
Hata jina rasmi la jeshi la Israel hivi sasa lina neno Haganah
 
Famous members of the Haganah included Yitzhak Rabin, Ariel Sharon, Rehavam Ze'evi, Dov Hoz, Moshe Dayan, Yigal Allon and Dr. Ruth Westheimer.
 
Siyo kweli,vikundi vyote viliunganishwa na kuunda IDF chini ya David Ben Gurion.Tafuta kundi lilomuua Count Benadote ,utamkuta Yitzak Shamir aliyekuja kuwa waziri mkuu wakati wa intifadha ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…