Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

Nikusahihishe kidogo yule wa mission Entebbe ni kaka wa huyu kwa jina Jonathan Netanyahu. Na alipoteza maisha yake hapo hapo Entebbe
Kwa nyongeza, ni komandoo peke yake aliyefariki katika hii mission, wengine wote walirudi salama salimini...
 
Inawezekana inatokana na ukubwa wa jeshi ( wingi wa maaskari)
 

Huyo Benjamin ameshiriki operation nyingi mno mfuatilie kwao karibia wote ni makomandoo
 
Africa ni vyeo vya kupeana tu wakati kijeshi hawapo vizuri, yaani madikteta yanawapa vyeo ili yalindwe
 
... na mamedali yasiyo na idadi kila aina ya rangi vifuani kulia na kushoto wakati Rav Aluf sana sana utakuta "bawa" tu kwenye mfuko wa kushoto.
 
Bro ingependeza sana kama ungekuwa una update uzi kulingana na majibu ya watu. Wenye majibu mazuri yaweke hapo juu.
 

Aliyeshiriki operation Entebe Rescue ni kaka yake Yonathan na aliuawa kwa risasi
 
Alikuwa kaka yake au mdogo wake sio yeye
 
Ina maana mkuu Netanyahus kule Entebe walikuwa wawili? Yona Netanyahu alikuwepo na ndiye aliyeuwawa kwenye tukio hilo. Vipi kuhusu Benyamini naye alikuwepo?
Hawa ndugu wawili Jonathan Netanyahu na Benjamin Netanyahu alikuwepo kwenye Op Ent alikua Jonathan ,na ndiye aliouawa, Huyu Waziri Mkuu anaitwa Benjamin Netanyahu
 
Huwa sifatilii sana jeshi la Israel sina mwamko nalo. Nakomaa na iliyokuwa Nazi Germany ambayo ni very complex, na pia Russia
Safi kabisa mkuu.... Nina documentary nyingi sana za SS kuanzia kina Marshall Rommel, Von Manstein na zile battles decisive kma Kursk na Tank battle ya Hochwald gap.

Kuna nyuzi umezungumzia Nazi germany unipe link mkuu?
 
Safi kabisa mkuu.... Nina documentary nyingi sana za SS kuanzia kina Marshall Rommel, Von Manstein na zile battles decisive kma Kursk na Tank battle ya Hochwald gap.

Kuna nyuzi umezungumzia Nazi germany unipe link mkuu?
Hapana mkuu hakuna uzi specifically nilikozungumzia ila mara chache inatokea nagusia kidogo. Mostly humu wanapenda kuzungumzia current trending issues. Alafu pia sipendi kuanzisha uzi kwa hiyo unakuta vitu vingi vya kusema lakini tunakosa pa kuchangia.

Dessert Fox alikuwa vizuri kapigana na kina Field Marshall Monty wakiwa na silaha kibao na supplies za kutosha ila wakaja kumshinda alipoishiwa ammunition. Namkubali kwa vile pia alikuwa na utu sio kama kina Himmler na Reinhard Heydrich ambao ni wakatili alafu vitani wazembe.

Ila SS walikuwa na jeshi kamilifu bahati nzuri Hitler alikuwa mjuaji. Alitoka jeshini akiwa na rank ndogo mno ila akataka kuongoza majenerali wake kupigana na nchi nyingi wakati hakuwahi ongoza hata company wala group. Bora Stalin aliwaachia kina Rokossovsky na Zhukov
 
Hata huyu alishiriki,brother wake ndio alipoteza maisha uwanja wa vita.
Nafikiri familia yao wote,watoto wa kiume ni members wa elite force
Wakati wa operation Entebbe, Benjamin Netanyahu alikuwa America masomoni. Hivyo hakushiriki kwa namna yoyote ile. Na kwenye operation hiyo kulikuwa na LT COL Jonathan au Yonathan Netanyahu mmoja tu na alikuwa ndiye kiongozi wa operation hiyo.
 
Itabidi nikufollow niwe naona comment zako hasa mada kama hizi za kijeshi, Seems u have a lot in store.

Hitler na ujuaji wake ni kweli uliwaponza maana maamuzi mabovu kma ya kule D day landing na ile kuwaachia wabritish wakimbie mainland Europe yalikuja kuwa cost baadae.

But mara zote huwa nasema kama Hitler angejenga alliance na Russia ama walau wangehonor ule mkataba wao wa No-Hostility then nadhani angeshinda ile vita asubuhi sana. Eastern front ndio ilikuwa kifo cha "BlitzKrieg"!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…