nakuombea tu Neema na Baraka za Mungu Moyo wako usipasuke, maana mihemko ghadhabu sio kitu kizuri moyoni πHata huo ukichaa ni lazima uambiwe; hakuna mTanzania anayekubali hadaa tena.
wakati nguvu ya kuandika yenyewe huna π€£Nguvu pekee iliyo baki ni kuwafurumusha washenzi nyie.
Unaombea wapi?nakuombea tu Neema na Baraka za Mungu Moyo wako usipasuke, maana mihemko ghadhabu sio kitu kizuri moyoni π
Hata kwenye hizo akili zilizo vurugwa na bangi na ukichaa, najuwa hofu kubwa imetandakwa yanayofuata.wakati nguvu ya kuandika yenyewe huna π€£
Basi Mungu akuhurumie akuondolee na kukuepusha na chuki, mihemko na roho ya kuyaporomosha bila hata sababu πUnaombea wapi?
Hizo balaa usizielekezekwangu. Mtu wa aina yako huna baraka yoyote.
Huyo mungu wako siyo ninaye mwamini mimi. Usilazimishe ujinga wako kwangu.Basi Mungu akuhurumie akuondolee na kukuepusha na chuki, mihemko na roho ya kuyaporomosha bila hata sababu π
sure,Hata kwenye hizo akili zilizo vurugwa na bangi na ukichaa, najuwa hofu kubwa imetandakwa yanayofuata.
Unarudia yale yale. Utakuwa bangi zimekuchanganya sana.sure,
mwenye hofu na mwenye kukata tamaa amejaa hasira, moyoni, mihemko na ghadhabu moyoni kupindukia , daima ni mkali sana π€£
Mwenyezi Mungu akupe subra na ustahimilivu πHuyo mungu wako siyo ninaye mwamini mimi. Usilazimishe ujinga wako kwangu.
Huyo ni wako, siyo wangu; bado huelewi?Mwenyezi Mungu akupe subra na ustahimilivu π
kwamba umekata tamaa na moyo umejaa ghadhabu na ni mkali sana?π€£Unarudia yale yale. Utakuwa bangi zimekuchanganya sana.
pokea Neema na Baraka za Mungu na upumzike salama na kwa Amani, Aimen πHuyo ni wako, siyo wangu; bado huelewi?
tangu lini ukawa mmiliki wa huyo mungu wako unayetaka kuwagawia na watu wengine kama huo siyo ujuha?kwamba umekata tamaa na moyo umejaa ghadhabu na ni mkali sana?π€£
Mwombe sana huyo mungu wako akuonyeshe ujinga mnao wafanyia waTanzania. Nenda katubu kwake akusaidie kuachana na hizi bange mbaya na akuponye huu ukichaa unao kusumbua.pokea Neema na Baraka za Mungu na upumzike salama na kwa Amani, Aimen π
si kweli, hivi siku ya dunia ya vijana ni siri?Erythrocyte tatizo la CDM ni mihemko. Wajifunze kuandaa mikakati kimya kimya na kijasusi!
.Jeshi la polisi linafuata amri. Walaumu wanaotoa amri
Ila Mwinyi ni mdogo wako!Nia ovu ya Machadema,Lisu kudai atashiriki maandamano kwani yeye ni Kijana? Imewakata hatutaki uhuni.
Tundu Lisu,Sugu na Mnyika na Mbowe nao NI vijana?Jusa na Mwinyi ni vijana?
Polisi hongereni sana kwa kuwakabili hao wanaotaka kuonyesha viashiria vya uvunjovu wa amani.Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi
View attachment 3067189
View attachment 3067190
Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba
Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa
View attachment 3067194
Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao
View attachment 3067197
Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile
View attachment 3067199
Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?
Pia soma: