Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata huo ukichaa ni lazima uambiwe; hakuna mTanzania anayekubali hadaa tena.
nakuombea tu Neema na Baraka za Mungu Moyo wako usipasuke, maana mihemko ghadhabu sio kitu kizuri moyoni šŸ’
 
Unaombea wapi?
Hizo balaa usizielekezekwangu. Mtu wa aina yako huna baraka yoyote.
Basi Mungu akuhurumie akuondolee na kukuepusha na chuki, mihemko na roho ya kuyaporomosha bila hata sababu šŸ’
 
Hata kwenye hizo akili zilizo vurugwa na bangi na ukichaa, najuwa hofu kubwa imetandakwa yanayofuata.
sure,
mwenye hofu na mwenye kukata tamaa amejaa hasira, moyoni, mihemko na ghadhabu moyoni kupindukia , daima ni mkali sana 🤣
 
pokea Neema na Baraka za Mungu na upumzike salama na kwa Amani, Aimen šŸ™
Mwombe sana huyo mungu wako akuonyeshe ujinga mnao wafanyia waTanzania. Nenda katubu kwake akusaidie kuachana na hizi bange mbaya na akuponye huu ukichaa unao kusumbua.
 
Jeshi la polisi linafuata amri. Walaumu wanaotoa amri
.
20240811_145728.jpg
 
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako

Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm Hussein Mwinyi

View attachment 3067189



View attachment 3067190

Hawa hapa nao ni Vijana wa ACT WAZALENDO wakiwa Chakechake Pemba

Mgeni Rasmi alikuwa Ismail Jussa

View attachment 3067194

Lakini linapokuja suala la BAVICHA, Polisi wanaleta chokochoko kwa kutumikishwa na Watawala mithili ya Vitendea kazi vyao

View attachment 3067197

Huku Kauli za Vitisho zikitolewa bila aibu yoyote ile

View attachment 3067199

Je kuna haja ya kulifutilia mbali jeshi la Polisi na kuliunda upya huku baadhi ya viongozi wa Jeshi hilo wakikamatwa na kufunguliwa Mashtaka?

Pia soma:
Polisi hongereni sana kwa kuwakabili hao wanaotaka kuonyesha viashiria vya uvunjovu wa amani.
 
Back
Top Bottom