Pre GE2025 Kwanini Jeshi la polisi liruhusu kongamano la vijana Duniani kwa Vijana wa CCM na ACT Wazalendo na kuzuia la Vijana wa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
si inaonyesha dhahiri shahiri gentleman unavyo yaporomosha kwa nyakati tofauti tofauti πŸ’
Nikikabiliana na shetani anayejifanya mpole, silaha yoyote ni lazima itumike. Kwa watu wa aina yenu hakuna kuchagua silaha inayofaa. Yoyote inafaa mradi ifanye kazi.
 
Yeye alibweka bweka watu wakajuwa ukichaa wake ulipo. Huyu unayempigania hapa ukichaa wake ni wa kujichekesha huku akifanya maovu yale yale; kama wewe unavyojifanya kuwa .
unamzungumzia chairman MBOWE au vice chairman WENJE gentleman?🀣
 
Nikikabiliana na shetani anayejifanya mpole, silaha yoyote ni lazima itumike. Kwa watu wa aina yenu hakuna kuchagua silaha inayofaa. Yoyote inafaa mradi ifanye kazi.
ukweli haunaga upole wala kukabiliana na yeyote, daima unajitosheleza na unajitegemea πŸ’

hayo mengine ya kishirikina deal nayo wewe but ukweli utabaki kama ulivyo πŸ’
 
ukweli haunaga upole wala kukabiliana na yeyote, daima unajitosheleza na unajitegemea πŸ’

hayo mengine ya kishirikina deal nayo wewe but ukweli utabaki kama ulivyo πŸ’
Upumbavu wa tamaduni zenu huko usifikiri unatumika kila mahali kwa ufanisi.
 
Tunaposema katiba ibadilishwe tuna Maanisha mambo ya kipuuzi kama haya, hii Sheria inayoipa uwezo polisi kuruhusu au kukataza mikusanyiko au mikutano ya siasa ni ya kipumbavu sana na ndio mwanzo wa matatizo yote yanapoanzia, Sheria mpya lazima iwekwe tuachane na mambo ya kikoloni haya, CCM endeleeni kufurahia huu ujinga lakini siku zote Sheria ni msumeno unapiga pande zote, hii hii Sheria siku Moja itawashughulikia na kuwaweka ndani Kwa mashtaka bogus na wote mtaishia jela
 
Upumbavu wa tamaduni zenu huko usifikiri unatumika kila mahali kwa ufanisi.
nilijua tu Lazima ukweli uibue mihemko na ghadhabu tena kwasabb hakuna mwenye mihemko anapenda kuambiwa ukweli....

mimi kiongozi wa wananchi na wananchi wangu, mathalani hapa jimboni tumekamilisha mipango na vipaumbele muhimu kwa ufanisi mkubwa mno, mpaka mwisho wa mwaka huu ufanisi utakua ni zaidi ya 100%πŸ’

kwani kuna tatizo lolote hapo muungwana? πŸ’
 
Tatizo ni hizo bangi zako na ukichaa; bado huelewi?
Kamwambie anaye kuleta hapa kila siku, kuwa hiyo kazi uliyo tumwa huiwezi.
 
Sababu ni rahisi tu...kongamano la vijana sio kusanyiko la kupanga uhalifu
 
Hangaika unavyotaka mwenyewe. Nipo hapa kwa niaba ya waTanzania mnao waodhani ni wajinga kuamini hadaa zenu.
siwezi babaika wala kuhangaika na mtu moja mie,

kuna mamilioni ya raia ndio nahangaika nao ili wapate mahitaji yao muhimu kwa uhakika , waporomoshaji nao wamo na tunakwenda nao vivyo hivyo πŸ’
 
siwezi babaika wala kuhangaika na mtu moja mie,

kuna mamilioni ya raia ndio nahangaika nao ili wapate mahitaji yao muhimu kwa uhakika , waporomoshaji nao wamo na tunakwenda nao vivyo hivyo πŸ’
Ndio ukichaa wenyewe huo kama hujui!
Unataka hadi ubebwe kwa nguvu ukapate huduma?
 
Tatizo ni hizo bangi zako na ukichaa; bado huelewi?
Kamwambie anaye kuleta hapa kila siku, kuwa hiyo kazi uliyo tumwa huiwezi.
ile kaz ya maana na muhimu zaidi, ni kuwaleta wananchi maendeleo, na hiyo naifanya kwa bidii, weledi na maarifa sana mpaka hawa wanainchi wapate maendeleo πŸ’

hiyo ndio kazi pekee nafanya
 
ile kaz ya maana na muhimu zaidi, ni kuwaleta wananchi maendeleo, na hiyo naifanya kwa bidii, weledi na maarifa sana mpaka hawa wanainchi wapate maendeleo πŸ’

hiyo ndio kazi pekee nafanya
Hata huo ukichaa ni lazima uambiwe; hakuna mTanzania anayekubali hadaa tena.
 
Ndio ukichaa wenyewe huo kama hujui!
Unataka hadi ubebwe kwa nguvu ukapate huduma?
nguvu inapaswa kutumika kufanya kazi na sio kuhemka na kuanza kuyaporomosha 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…