Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ushauri mzuri wa kiungwana kabisa, lakini wataishia kupandisha mihemko zaidi na pengine kukuporomoshea matusi tena 🐒Erythrocyte tatizo la CDM ni mihemko. Wajifunze kuandaa mikakati kimya kimya na kijasusi!