Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

Kwani Wapi nilipoandika kuwa natafuta uteuzi ndugu yangu.
Nyota yako ni ya nyoka , ukichomoza kichwa tu kwenye shimo unapewa rungu la kichwa,
Unaleta uchonganishi kwa maslahi ya nani?
Kwamba police hawafai/jui kufanya kazi yao ila wewe ndio unajua sana?
 
Nyota yako ni ya nyoka , ukichomoza kichwa tu kwenye shimo unapewa rungu la kichwa,
Unaleta uchonganishi kwa maslahi ya nani?
Kwamba police hawafai/jui kufanya kazi yao ila wewe ndio unajua sana?
Acha ujinga wako hapa wewe.kwa hiyo unataka tukae kimya kuacha jitu kama Mdude Nyagali liendelee kutukana matusi?
 
Nadhani kwq kuwa akili yako ni yanuchawa na poyoyo! Ungelianza na swali kwa nini NAPE hajachukuliwq hatua kwa maneno ya kuwakashifu na kuwahadaa kwa kusema eti ilikuwa utani kwabwaTanzania na Dunia nzima.
Unadhani la kwake ilikuwa ni utani? Hizi ndio stail zao
Anavuruga amani mjue!
 
Kwani ile kesi yake mliyompa ya Uhaini iliishia wapi?
 
Hivi wewe waionaga ccm ipo juu kuliko wazazi wako waliokuleta duniani
 
Muulize pia huawa anakuwa wapi Kiongozi mkuu wa chama kikuu Cha upinzani Mbowe anapotukanwa na watu mtandaoni??
 
Kenya wakati wa maandamano husema:-
1. Matamko yako Ruto. 2. Ruto kasababisha mboro za mabwana zetu hazismami. Lkn hatujasikia wala kuona malalamiko kama haya!?!!

Kwani rais wa Tanzania ni Mungu?
 
I'm
Yule mhalifu mtekaji watu na muuaji aliyerudishwa kazini Daudi Albert Bashite si yupo kule Arusha Sasa hivi. Muagizeni amfanyizie. Si ndio kichaa wenu mnayemtegemea.
 
Ni.ekosa nguvu za kuendelea kusoma ujinga ulioandika. Kiufupi kwa komenti nilizozisoma hapo chini ni dhahiri ulichoandika ni ujinga tu na si lolote. Ahsante
 
Kumbe machozi ya huzuni yanavuja, hayabubujiki? Kama amemdhalilisha si mahakama zipo? Nimepitia page yake X naona vyote alivyoandika hakuna kesi ya kujibu. ...mfano, Vasco da samia ni nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…