Nlikuwa na mastress cku hyo nkawa narud narafk yangu toka kazn.
akawa busy na cm yake anacheka,akanishamishi kuwa naingia tangu cku hyo ni msomaji wa kla cku humu ndani.
you too big sis.Shukrani zaidi ziende kwako Dearest....
Kwa kutufanya tuwe siblings hapa JF.
Do take care.
Jamani Kipipi hembu share basi.... alafu usijali ujumbe kwa Cantalisia utafikishwa na mapalachichi yatakuja.
Hahahaha,
Heri ya mwaka mpya Kipipi,
Zawadi ipo tatizo nawe ulipotea sana,
Nitumie namba yako ili nikutumie parachichi kwa MPESA lol!
mie huku alinileta Maxi na mwenzeie Mushi baada ya kukutana nao kule kwenye Chat room ya Darhotwire,kwahiyo walipoanza kuitangaza forum yao wakaniomba nijiunge nao,nami bila kinyongo nikajiunga na ndio mpaka leo bado naliendeleza libeneke.Nalog off
Hata mimi nilikua sijawahi kusoma alijiunga lini. shame on me! lolUnajua Washawasha siku notice siku zooote hizi kua ni wa kiitambo namna hio... Leo hii ndio nime observed join date yake.... Hongera bana, nimependa the way umejiunga, imenipa insight na idea of how JF was when it was being established na nguvu za Melo na Mushi katika kuiweka sawa na kuipromote. Thank you for sharing..... Pamoja Saaana.
Miss you too darling, nakuja. Namaliza leo alafu nakuja unipe habari zoooooote. In the mean time ningependa usome tena ile thread ya UTU unambie unaonaje speach ya Dalai Lama (2,5 min peke yake). Nalog off (source: washawasha, lol)I think alichelewa kuleta Brand yake ya "nalog off" lol
Roulette I have missed you... Saaana.... :sad:
Unajua Washawasha siku notice siku zooote hizi kua ni wa kiitambo namna hio... Leo hii ndio nime observed join date yake.... Hongera bana, nimependa the way umejiunga, imenipa insight na idea of how JF was when it was being established na nguvu za Melo na Mushi katika kuiweka sawa na kuipromote. Thank you for sharing..... Pamoja Saaana.
Hata mimi nilikua sijawahi kusoma alijiunga lini. shame on me! lol
baada ya kujiunga na JF nikaenda jela kama miaka 3,ndio iliyoniharibia timing zangu.Nalog offI think alichelewa kuleta Brand yake ya "nalog off" lol
Roulette I have missed you... Saaana.... :sad:
Mi mimi nilijiunga kwa sababu ya kupenda siasa lakini kwa sasa Naichukia siasa, nawachukia wanasiasa na hakuna ninayemwamini katika wanasiasa wote ni WANAFIKI.
Miss you too darling, nakuja. Namaliza leo alafu nakuja unipe habari zoooooote. In the mean time ningependa usome tena ile thread ya UTU unambie unaonaje speach ya Dalai Lama (2,5 min peke yake). Nalog off (source: washawasha, lol)