uvhunguzi?,Vilovyomo vilivyomo?
Kiswahili umejifunzia wapi Mkuu?
Halafu swali lako halieleweki,Unataka nini kwani?
Kila kitu ulichotaja hapo juu kinaelea angali sababu kila kitu kinamvuta mwenzake, chenye mass(kg) kubwa kinavuta zaidi chenye mass(kg) ndogo. Sasa utauliza kwa nini vinavutana lakini havigongani, sababu ni nyingi, sayari zote zinavutwa na jua, lakini zinazunguka jua kwa spidi kubwa kwa hiyo zinacounterbalance, mwezi unazunguka dunia kwa speed kubwa ambayo inatosha pia ku-counterbalance nguvu inayouvuta karibu.
Kama haija-make sense inakuaje kitu kikizunguka kwa kasi kinacounter balance em angalia hii picha hapa chini
Hilo gari likishuka kwa spidi kubwa, litaweza kuzunguka hiyo round kwa ndani bila kuanguka na likapitiliza hadi upande wa pili, lakini likishuka kwa spidi ndogo basi halitoweza kuzunguka litaanguka. Concept kama hiyo.
Kuhusu kuona nyota na mwezi wakati wa usiku peke yake ni kitu simple tu, dunia inajizungusha kwenye mhimili wake, upande ambao unakua hautazamani na jua moja kwa moja ndo inakua usiku, kwa kua mwanga wa jua haufiki basi nyota na mwezi utaviona. Hata mchana hua nyota zinatoa mwanga lakini huzioni mchana sababu mwanga wa jua ni mkali kuliko unaotoka kwenye nyota.. Chukua tochi mchana, mwambia mtu asimame 50M kutoka kwako, ile tochi mwanga wake hutouona sababu mwanga wa jua umezidi, ila usiku utauona.. Hili jambo hata mtoto mdogo anaweza kukuelezea.
Ilikuwaje hiyo Big Bang ikatokea?
Nini kilisababisha ikatokea?
I didn't ask you about this....
Mbona Maswali yako yapo nje ya Mada Eiyer?
But If you're Person with rational Mindset,Please watch this Video
WHAT HAPPEN BEFORE BIG BANG
Kila kitu ulichotaja hapo juu kinaelea angali sababu kila kitu kinamvuta mwenzake, chenye mass(kg) kubwa kinavuta zaidi chenye mass(kg) ndogo. Sasa utauliza kwa nini vinavutana lakini havigongani, sababu ni nyingi, sayari zote zinavutwa na jua, lakini zinazunguka jua kwa spidi kubwa kwa hiyo zinacounterbalance, mwezi unazunguka dunia kwa speed kubwa ambayo inatosha pia ku-counterbalance nguvu inayouvuta karibu.
Kama haija-make sense inakuaje kitu kikizunguka kwa kasi kinacounter balance em angalia hii picha hapa chini
Hilo gari likishuka kwa spidi kubwa, litaweza kuzunguka hiyo round kwa ndani bila kuanguka na likapitiliza hadi upande wa pili, lakini likishuka kwa spidi ndogo basi halitoweza kuzunguka litaanguka. Concept kama hiyo.
Kuhusu kuona nyota na mwezi wakati wa usiku peke yake ni kitu simple tu, dunia inajizungusha kwenye mhimili wake, upande ambao unakua hautazamani na jua moja kwa moja ndo inakua usiku, kwa kua mwanga wa jua haufiki basi nyota na mwezi utaviona. Hata mchana hua nyota zinatoa mwanga lakini huzioni mchana sababu mwanga wa jua ni mkali kuliko unaotoka kwenye nyota.. Chukua tochi mchana, mwambia mtu asimame 50M kutoka kwako, ile tochi mwanga wake hutouona sababu mwanga wa jua umezidi, ila usiku utauona.. Hili jambo hata mtoto mdogo anaweza kukuelezea.
si zidondoke chini ardhini
Maswali yangu hayapo nje ya mada kwasababu yamezaliwa kutoka kwenye majibu yako...
Who was "there" before that big bang?
CC: Nyani Ngabu ....
Mkuu unakusudia kusema nini, kwamba kwa kila kinachoshangaza ktk ufundi na ujuzi basi kinamuanzilishi/mjuzi wake ?????????Kwa mujibu wa maelezo yako hapo pana utaalamu wa hali ya juu kabisa umefanyika.Ni uthibitisho pia kwamba huyo aliyeyafanya huo ufundi hana wa kufanana nae kwa namna yoyote ile!
Waafrika tumeingia ndani ya mipango ya wazungu
Haya yote yamekuwaje hivyo?
Yaani imetokeaje tokeaje ikawa hivyo?
Una uhakika gani hakukuwa na kitu kabla ya Big Bang?Who was there Before the Bing-bang?Your Question Doesn't Make any sense
I'll not Going Deep into technical details But this is what I know.
All stuff In Our universe came After Bing bang and Not moment before.
space,Matter,Energy and Even time all those Existed after Big bang during Plack's Epoch,nothing was there Before BB
In Addition,there was no time before BB For your the so called Creator to Create
In that sense,Our Universe is self-creator,Pop into Existence without cause
so Don't Ask for cause of the Universe Again..!
Vizuri sana mkuu
Hii ni kwanini sayari zinaelea angani kwa nafasi maalum.
Je hiyo speed ya kuzikimbiza hizo sayari inazalishwa wapi?
Naona wewe unataka ujibiwe ni mungu wako ndio uridhike.
Maswali yangu hayapo nje ya mada kwasababu yamezaliwa kutoka kwenye majibu yako...
Who was "there" before that big bang?
CC: Nyani Ngabu ....
Una uhakika gani hakukuwa na kitu kabla ya Big Bang?
Nina maswali mengi lakini tuende taratibu,moja baada ya lingine...!!
Ngoja nitumie Socratic Method of Argument labda tutaelewana.
swali lako litajibiwa na Jibu lako;
Wewe una uhakika gani kuwa,kabla ya Mungu kulikuwa hakuna kitu chochote kingine?