Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

uvhunguzi?,Vilovyomo vilivyomo?
Kiswahili umejifunzia wapi Mkuu?

Halafu swali lako halieleweki,Unataka nini kwani?

Yaan pamoja na kunirekebishia niliyoyaandika bado hujaelewa nilichokuuliza!!!!

Nakuuliza unafahamu dunia na mahesabu yake viliitwaje kabla sayansi kuamua kuvipa majina ya kisayansi??
 
Kila kitu ulichotaja hapo juu kinaelea angali sababu kila kitu kinamvuta mwenzake, chenye mass(kg) kubwa kinavuta zaidi chenye mass(kg) ndogo. Sasa utauliza kwa nini vinavutana lakini havigongani, sababu ni nyingi, sayari zote zinavutwa na jua, lakini zinazunguka jua kwa spidi kubwa kwa hiyo zinacounterbalance, mwezi unazunguka dunia kwa speed kubwa ambayo inatosha pia ku-counterbalance nguvu inayouvuta karibu.

Kama haija-make sense inakuaje kitu kikizunguka kwa kasi kinacounter balance em angalia hii picha hapa chini
attachment.php

Hilo gari likishuka kwa spidi kubwa, litaweza kuzunguka hiyo round kwa ndani bila kuanguka na likapitiliza hadi upande wa pili, lakini likishuka kwa spidi ndogo basi halitoweza kuzunguka litaanguka. Concept kama hiyo.

Kuhusu kuona nyota na mwezi wakati wa usiku peke yake ni kitu simple tu, dunia inajizungusha kwenye mhimili wake, upande ambao unakua hautazamani na jua moja kwa moja ndo inakua usiku, kwa kua mwanga wa jua haufiki basi nyota na mwezi utaviona. Hata mchana hua nyota zinatoa mwanga lakini huzioni mchana sababu mwanga wa jua ni mkali kuliko unaotoka kwenye nyota.. Chukua tochi mchana, mwambia mtu asimame 50M kutoka kwako, ile tochi mwanga wake hutouona sababu mwanga wa jua umezidi, ila usiku utauona.. Hili jambo hata mtoto mdogo anaweza kukuelezea.

Vizuri sana mkuu

Hii ni kwanini sayari zinaelea angani kwa nafasi maalum.

Je hiyo speed ya kuzikimbiza hizo sayari inazalishwa wapi?
 
Kwa mujibu wa maelezo yako hapo pana utaalamu wa hali ya juu kabisa umefanyika.Ni uthibitisho pia kwamba huyo aliyeyafanya huo ufundi hana wa kufanana nae kwa namna yoyote ile!
 
Maswali yangu hayapo nje ya mada kwasababu yamezaliwa kutoka kwenye majibu yako...

Who was "there" before that big bang?

CC: Nyani Ngabu ....

Who was there Before the Bing-bang?Your Question Doesn't Make any sense
I'll not Going Deep into technical details But this is what I know.

All stuff In Our universe came After Bing bang and Not moment before.
space,Matter,Energy and Even time all those Existed after Big bang during Plack's Epoch,nothing was there Before BB

In Addition,there was no time before BB For your the so called Creator to Create

In that sense,Our Universe is self-creator,Pop into Existence without cause
so Don't Ask for cause of the Universe Again..!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mujibu wa maelezo yako hapo pana utaalamu wa hali ya juu kabisa umefanyika.Ni uthibitisho pia kwamba huyo aliyeyafanya huo ufundi hana wa kufanana nae kwa namna yoyote ile!
Mkuu unakusudia kusema nini, kwamba kwa kila kinachoshangaza ktk ufundi na ujuzi basi kinamuanzilishi/mjuzi wake ?????????
 
Waafrika tumeingia ndani ya mipango ya wazungu
 
Attachments

  • 1450529817674.jpg
    1450529817674.jpg
    14.6 KB · Views: 212
Kisayansi Isaac Newton miaka ya 1600 alifanya ugunduzi uliokuja na majibu kuwa ; Dunia na sayari nyingine, jua na nyota na mwezi vyote kwa pamoja vimeshikiliwa na kani ya uvutano ambayo imafanya bodies zote hizo kuwa balanced na kuelea angani.
Pia ni kani hiyo ya uvutano inayosababisha sayari kuzunguka jua kupitia mzunguko wake.
Mwezi huonekana na nyota huonekana usiku kwa kua macho yetu hayana uwezo wa kuuona mchana wakati mwanga wa jua ukiwa umeshamiri. Pia usipouona usiku ni kwamba unakua upo mbali na upeo wa macho yako.
 
Hata dunia inaelea 'angani'. Mbona hujauliza kuhusu dunia? Alafu havielei angani... Anga ni sehemu ya juu ya dunia yani atmosphere. Kila sayari ina atmosphere yake ambayo imezungukwa na gesi mbali mbali zenye mgandamizo tofauti wa hewa. Tofauti kati ya sayari ya Dunia na sayari nyingine ni kwamba ina hewa ya Oxygen na pia ina maji, vitu viwili muhimu katika kusupport uhai...
 
Who was there Before the Bing-bang?Your Question Doesn't Make any sense
I'll not Going Deep into technical details But this is what I know.

All stuff In Our universe came After Bing bang and Not moment before.
space,Matter,Energy and Even time all those Existed after Big bang during Plack's Epoch,nothing was there Before BB

In Addition,there was no time before BB For your the so called Creator to Create

In that sense,Our Universe is self-creator,Pop into Existence without cause
so Don't Ask for cause of the Universe Again..!
Una uhakika gani hakukuwa na kitu kabla ya Big Bang?

Nina maswali mengi lakini tuende taratibu,moja baada ya lingine...!!
 
Vizuri sana mkuu

Hii ni kwanini sayari zinaelea angani kwa nafasi maalum.

Je hiyo speed ya kuzikimbiza hizo sayari inazalishwa wapi?

Naona wewe unataka ujibiwe ni mungu wako ndio uridhike.
 
Maswali yangu hayapo nje ya mada kwasababu yamezaliwa kutoka kwenye majibu yako...

Who was "there" before that big bang?

CC: Nyani Ngabu ....

Hahahaahaa.

You sound like me there!

Ifikie mahali binadamu tukubali tu kuwa mpaka sasa kuna mambo hatuyajui ila tunajitahidi kwa kiasi fulani kuutafuta ukweli wake.

Hizo habari za bing bang kwangu haziingii kabisa akilini.

Kwa sababu mpaka sasa hatuujui ukweli ndo maana huwa tunadhani na kusadiki tu juu ya mambo flani flani.

Mimi nimeshakubali kuwa binadamu mpaka sasa kuna mambo hatuyajui lakini kutokuyajua huko hakutufanyi ndo tuache kabisa kuendelea kujaribu kuutafuta ukweli.
 
wanasayansi wachache hawapendi kusikia kabisa neno Mungu, lakini hua najiuliza, kwa nini wako so against the notion of an Almighty powerful God, lakini wako tayari kukubali kua there might exist an intelligent alien life somewhere in the universe that put us here and left, if such alien life existed why shouldn't we say its as powerful as the almighty because kama they have the power to put us here n stay silent un-noticed for so long why shouldn't we say they are able to make humans, or manipulate everything that exists in the universe? Isn't that what God does?

Ok tunaweza sema its just a theory and not proven, still what if we are just a computer simulation? A very advanced computer ambayo imetengenezwa na a more intelligent race, and we think we have free will but in reality its all just mathematical expressions? How would we know? Shouldn't we call God whoever wrote the code that runs us?

Mnisamehe kwa maswali yangu ya ajabu, i just tend to think of all the possibilities sometimes regardless of how unreal they might sound.
 
Ngoja nitumie Socratic Method of Argument labda tutaelewana.

swali lako litajibiwa na Jibu lako;
Wewe una uhakika gani kuwa,kabla ya Mungu kulikuwa hakuna kitu chochote kingine?

Hahahahaaa.

Na mungu ilikuwa kuwaje hadi akawa mungu?

Alitokea wapi yeye?

Huo uwezo na hizo nguvu zake alizitoa wapi? Nani alimpa? Alijipa mwenyewe?
 
Back
Top Bottom