Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?


"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....
 

Mimi sio yule wa kusema ndio tu pasipo huhoji hadi nije kuitwa kondoo
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Mkuu,Inaonekana huna Basic Knowlegde ya solar system.
Ipo Hivi;Sayari katika Mfumo wa jua,Hazijapangwa katika Mstari mmoja Bali zimetawanywa.

sasa Ili ujue Position ya sayari yoyote ile,lazima ujue Umbali kati ya sayari na wewe/Dunia.
Mfano,Umbali kati ya Dunia na Mwezi ni takribani 300000 KM
Hivyo basi,unaposafiri Umbali wa KM laki tatu kutoka Duniani Aidha kwa kutumia Rocket au chombo chochote kile utakuwa Umeufikia Mwezi.

Lakini Umbali siyo Fixed Huwa una Badilika kutokana na Oribit ya sayari Husika.Kuna kipindi inakuwa Karibu sana na Dunia na wakati Mwengine inakuwa Mbali na Dunia.

Mathalani,umbali kutoka sayari ya Mars na Dunia,kuna wakati huwa KM milioni 50,na Mda Mwengine huwa KM Milioni 400

so,ukitaka kwenda Mars,lazima uvizie kipindi ambacho ipo karibu sana na Dunia.
 

Mkuu,swali Gani unataka Ujibiwe?
Uliuliza kuhusu Chanzo cha Big-Bang nikakijibu Hakuna.
Ukauliza tena,umejuaje kuwa Hakukuwa na Kitu kabla ya BB?.Hili ni swali la kipuuzi.

Hakuna kitu kinachoweza kuexist Nje ya Space and time
Na Space&time vyote vilikuwa Ndani ya Singurality/BB point.so Hakukuwa na kitu nje.
 
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Hahahahahha aiseeeee
 
Mkuu hawa watu ni WAPUMBAVU kwelikweli 😀

Mkuu aretasludovickHilo jina lina wafaa sana.
Maana Mpumbavu ni Mtu anayejifanya Mjuaji kumbe Hajui chochote.
Ukiwambia ulimwengu Haukuumbwa wataanza kuuliza Maswali yasiyo na Mantiki yoyote.

Lakini ukiwauliza wao,Huyo Mungu aliumbwa na nani?watakwambia Hakuumbwa.

Sasa kama unaamini kuwa kitu kinaweza kuwepo Bila kuumbwa,kwanini unapinga sayansi inaposema kuwa Ulimwengu Haukuumbwa?
All theists suffer From Special pleading.Lol
 
Last edited by a moderator:
 

Yaan mtu asipokuwa upande wako basi ni mpumbavu!!!!!

Mungu ni kitu gani, naona umeamua kumtengeneza.
 
Last edited by a moderator:
 
"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....
Nothing inaweza kuwa nothing lakini kwa kuzingatia context ya mjadala husika na inaweza kuwa kinyume pia,sijajua ulichokisikia kiko namna gani....
 
Yaan mtu asipokuwa upande wako basi ni mpumbavu!!!!!

Mungu ni kitu gani, naona umeamua kumtengeneza.

Na nitaendelea kukuita Mpumbavu Unless uje upande Wangu.
Leo unatuuliza Mungu ni kitu gani?kwahiyo ulikuwa Unaamini kitu Usichokijua?

You're Moron For really.
 
 
"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....

Mkuu watu wengi Hawajui nini Maana Nothing au Vacuum kama ilivyosadifiwa na science.
Vaccum siyo Absolute Nothing bali ni Unstable

Na katika Vaccum ndipo BB ilipotokea.
 
 

Hahaaa.....unajitahid, Ila bado sana. Asante mkuu Eiyer kwa maswali makin.
 
 

Kaka haya ndio aina ya mawazo au muono unaleta aman ya akili....ingawa muono wako haujasaid upande wowote but umejielezea position yako vizur, ukiangalia kwaundani majibu yote yanoyoelezea hoja apo juu, iwe kwa wale wanaoside dini zaid kuelezea na wale wanaoelezea wakiside sayansi utagundua Imani ndio basis ya maelezo yao...So hapa inategemea majibu yapi hasa yanayo leta aman ya akili na roho, majibu ambayo yatatokana na kazi ya mwanadam(sayansi) hakika lazima yatakizana na hayatoi majibu yote yanayohitajika kwasababu tafti nyingi sana bado zinaendelea, nakuboreshwa....kujibu maswali machache mno juu ya kazi kubwa sana sana sana, aliyoifanya MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…