tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kwanza unapaswa ujue kwamba mimi ndio ninakuhoji wewe kutokana na majibu yako kuhusu ulichojibu juu ya Big Bang na sio kuhusu msimamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu,kwa maana hii wewe unachotakiwa hapa ni kujibu tu kile ninachokuuliza wewe kuhusu ulichopjibu na sio kuhusu unachojua kuhusu ninachokubali juu ya uwepo wa Mungu
Pili,hakuna kabla ya Mungu,kuanza kuwaza hivi ni kuanza kufikiri kimakosa kumhusu Mungu kwa kudhani kuwa kuna wakati alianza na najua kuwa hakuanza kwa kutumia imani na nina tafsiri yangu ya imani ninayoitumia na sio tafsiri ya kwenye kamusi,hivyo ninajua yote hayo kwa kutumia imani.....
Wewe unatumia nini? Maana kwenye sayansi hakuna imani....
"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....