Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

Kwanini jua, Mwezi, Nyota, vinaelea angani?

Kwanza unapaswa ujue kwamba mimi ndio ninakuhoji wewe kutokana na majibu yako kuhusu ulichojibu juu ya Big Bang na sio kuhusu msimamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu,kwa maana hii wewe unachotakiwa hapa ni kujibu tu kile ninachokuuliza wewe kuhusu ulichopjibu na sio kuhusu unachojua kuhusu ninachokubali juu ya uwepo wa Mungu

Pili,hakuna kabla ya Mungu,kuanza kuwaza hivi ni kuanza kufikiri kimakosa kumhusu Mungu kwa kudhani kuwa kuna wakati alianza na najua kuwa hakuanza kwa kutumia imani na nina tafsiri yangu ya imani ninayoitumia na sio tafsiri ya kwenye kamusi,hivyo ninajua yote hayo kwa kutumia imani.....

Wewe unatumia nini? Maana kwenye sayansi hakuna imani....

"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....
 
Kwani hapa tunafanyaje mkuu???

Ndio maana hujawahi kuelewa.

Upumbavu unapimwa kwa kifaa gani cha kisayansi mwanasayansi???

Sasa kama Mungu ni
Kitu-kimetengenezwa kinapatikanaje sehemu zote kikiwa kimoja tu???

Kifaa-kinafanya kazi kwenye nn??, ipi sifa ya hicho kifaa kuweza mambo yote???

Kiumbe-kimeishaumbwa maana yake kina muumbaji, sifa ya uwepo wake kabla ya chochote imefutika.

Muelewe Mungu kwanza mkuu tutaendelea.

Mimi sio yule wa kusema ndio tu pasipo huhoji hadi nije kuitwa kondoo
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Mkuu,Inaonekana huna Basic Knowlegde ya solar system.
Ipo Hivi;Sayari katika Mfumo wa jua,Hazijapangwa katika Mstari mmoja Bali zimetawanywa.

sasa Ili ujue Position ya sayari yoyote ile,lazima ujue Umbali kati ya sayari na wewe/Dunia.
Mfano,Umbali kati ya Dunia na Mwezi ni takribani 300000 KM
Hivyo basi,unaposafiri Umbali wa KM laki tatu kutoka Duniani Aidha kwa kutumia Rocket au chombo chochote kile utakuwa Umeufikia Mwezi.

Lakini Umbali siyo Fixed Huwa una Badilika kutokana na Oribit ya sayari Husika.Kuna kipindi inakuwa Karibu sana na Dunia na wakati Mwengine inakuwa Mbali na Dunia.

Mathalani,umbali kutoka sayari ya Mars na Dunia,kuna wakati huwa KM milioni 50,na Mda Mwengine huwa KM Milioni 400

so,ukitaka kwenda Mars,lazima uvizie kipindi ambacho ipo karibu sana na Dunia.
 
Kwanza unapaswa ujue kwamba mimi ndio ninakuhoji wewe kutokana na majibu yako kuhusu ulichojibu juu ya Big Bang na sio kuhusu msimamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu,kwa maana hii wewe unachotakiwa hapa ni kujibu tu kile ninachokuuliza wewe kuhusu ulichopjibu na sio kuhusu unachojua kuhusu ninachokubali juu ya uwepo wa Mungu

Pili,hakuna kabla ya Mungu,kuanza kuwaza hivi ni kuanza kufikiri kimakosa kumhusu Mungu kwa kudhani kuwa kuna wakati alianza na najua kuwa hakuanza kwa kutumia imani na nina tafsiri yangu ya imani ninayoitumia na sio tafsiri ya kwenye kamusi,hivyo ninajua yote hayo kwa kutumia imani.....

Wewe unatumia nini? Maana kwenye sayansi hakuna imani....

Mkuu,swali Gani unataka Ujibiwe?
Uliuliza kuhusu Chanzo cha Big-Bang nikakijibu Hakuna.
Ukauliza tena,umejuaje kuwa Hakukuwa na Kitu kabla ya BB?.Hili ni swali la kipuuzi.

Hakuna kitu kinachoweza kuexist Nje ya Space and time
Na Space&time vyote vilikuwa Ndani ya Singurality/BB point.so Hakukuwa na kitu nje.
 
Mimi sio yule wa kusema ndio tu pasipo huhoji hadi nije kuitwa

Sayansi haiwezi kuwa jibu la uumbaji sababu imeitwa sayansi kukiwa tayari kuna uumbaji.

Wewe Mkorinto una Shallow Reasons za kipuuzi.
Hiyo siyo sababu ya science kushindwa kuelezea Uumbaji.Tuna Evolution na BBT Zote zinaelezea Uumbaji.

Labda nikuulize swali,Kati ya wewe na Baba yako yupi ni wa Kwanza?..Bila shaka ni Baba yako
Sasa ulimjuaje wakati yeye alikuwa kabla yako?

Science inajua vitu kwa kutumia Logic,Mathematics,na Majaribio na siyo Umri wa vitu.
 
Yaa uweze jua dunia imefika mwisho na unaanza sayari nyingine unatambuaje najua dunia ni sayari utata unakuja wapi kutambua kuwa hii dunia tumeitoka now tunaingia jupita au pruto unajuaje

Hahahahahha aiseeeee
 
Mkuu hawa watu ni WAPUMBAVU kwelikweli 😀

Mkuu aretasludovickHilo jina lina wafaa sana.
Maana Mpumbavu ni Mtu anayejifanya Mjuaji kumbe Hajui chochote.
Ukiwambia ulimwengu Haukuumbwa wataanza kuuliza Maswali yasiyo na Mantiki yoyote.

Lakini ukiwauliza wao,Huyo Mungu aliumbwa na nani?watakwambia Hakuumbwa.

Sasa kama unaamini kuwa kitu kinaweza kuwepo Bila kuumbwa,kwanini unapinga sayansi inaposema kuwa Ulimwengu Haukuumbwa?
All theists suffer From Special pleading.Lol
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mkorinto una Shallow Reasons za kipuuzi.
Hiyo siyo sababu ya science kushindwa kuelezea Uumbaji.Tuna Evolution na BBT Zote zinaelezea Uumbaji.

Labda nikuulize swali,Kati ya wewe na Baba yako yupi ni wa Kwanza?..Bila shaka ni Baba yako
Sasa ulimjuaje wakati yeye alikuwa kabla yako?

Science inajua vitu kwa kutumia Logic,Mathematics,na Majaribio na siyo Umri wa vitu.

Mbona povu???just calm.

Kujua kama huyu ni baba yangu bila yeye kuniambia hakunifanyi kuwa nimekuwa na akili kuliko yeye.

Na kama alinizaa akanitupa haimaanishi sijawahi kuzaliwa naye.

Hivi binadamu wa kwanza aliishi tz pia miaka milion kadhaa iliyopita alitokana na sokwe na hawa sokwe walitokea kwenye ule mripuko??????au walikwepp kabla ya mlipuko???na kujua yote haya zilitumia hesabu gani???
 
Mkuu aretasludovick Hilo jina lina wafaa sana.
Maana Mpumbavu ni Mtu anayejifanya Mjuaji kumbe Hajui chochote.
Ukiwambia ulimwengu Haukuumbwa wataanza kuuliza Maswali yasiyo na Mantiki yoyote.

Lakini ukiwauliza wao,Huyo Mungu aliumbwa na nani?watakwambia Hakuumbwa.

Sasa kama unaamini kuwa kitu kinaweza kuwepo Bila kuumbwa,kwanini unapinga sayansi inaposema kuwa Ulimwengu Haukuumbwa?
All theists suffer From Special pleading.Lol

Yaan mtu asipokuwa upande wako basi ni mpumbavu!!!!!

Mungu ni kitu gani, naona umeamua kumtengeneza.
 
Last edited by a moderator:
Mbona povu???just calm.

Kujua kama huyu ni baba yangu bila yeye kuniambia hakunifanyi kuwa nimekuwa na akili kuliko yeye.

Na kama alinizaa akanitupa haimaanishi sijawahi kuzaliwa naye.

Hivi binadamu wa kwanza aliishi tz pia miaka milion kadhaa iliyopita alitokana na sokwe na hawa sokwe walitokea kwenye ule mripuko??????au walikwepp kabla ya mlipuko???na kujua yote haya zilitumia hesabu gani???

Unaona sasa?
You're total Ignorant Of science just Believe Me.

Aliyekwambia kwenye sayansi kuna Nadharia inayoelezea Mlipuko ni nani?Au Mlipuko upi ulioutaja?

Chanzo cha Mwanadamu siyo sokwe,Bali Mwanadamu alikuwa Familia Moja na sokwe[The Family Of Primate]

Jaribu kuuliza Maswali yenye utashi ndani yake,Usikurupuke.
 
"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....
Nothing inaweza kuwa nothing lakini kwa kuzingatia context ya mjadala husika na inaweza kuwa kinyume pia,sijajua ulichokisikia kiko namna gani....
 
Yaan mtu asipokuwa upande wako basi ni mpumbavu!!!!!

Mungu ni kitu gani, naona umeamua kumtengeneza.

Na nitaendelea kukuita Mpumbavu Unless uje upande Wangu.
Leo unatuuliza Mungu ni kitu gani?kwahiyo ulikuwa Unaamini kitu Usichokijua?

You're Moron For really.
 
Unaona sasa?
You're total Ignorant Of science just Believe Me.

Aliyekwambia kwenye sayansi kuna Nadharia inayoelezea Mlipuko ni nani?Au Mlipuko upi ulioutaja?

Chanzo cha Mwanadamu siyo sokwe,Bali Mwanadamu alikuwa Familia Moja na sokwe[The Family Of Primate]

Jaribu kuuliza Maswali yenye utashi ndani yake,Usikurupuke.

Teh teh teh maana ya kuwa familia moja ni nini?? huelewi au ???

Kwani nyota si zina maisha mkuu!!! Likiwamo jua na sayari zake tulizomo, una uhakika nyota haina mlipuko katika mzunguko wake wa uhai.embu pitia tena mkbrasha.

Supernova.
 
"Something from Nothing"...nimejaribu kumsikiliza Lawrance Kraus bado nimetoka patupu...kinachoitwa "nothing" kimsingi siyo "nothing"....

Mkuu watu wengi Hawajui nini Maana Nothing au Vacuum kama ilivyosadifiwa na science.
Vaccum siyo Absolute Nothing bali ni Unstable

Na katika Vaccum ndipo BB ilipotokea.
 
Teh teh teh maana ya kuwa familia moja ni nini?? huelewi au ???

Kwani nyota si zina maisha mkuu!!! Likiwamo jua na sayari zake tulizomo, una uhakika nyota haina mlipuko katika mzunguko wake wa uhai.embu pitia tena mkbrasha.

Supernova.

Supernova is Real Lakini siyo chanzo cha Ulimwengu.
Halafu ukiwa unafikiria kuhusu Ulimwengu weka Common sense pembeni.

Hakuna Mlipuko in Outer space
Kwasababu Mlipuko ni sauti,sauti inahitaji Hewa ili isikike
Lakini kwenye Space Hakuna Hewa.
 
Who was there Before the Bing-bang?Your Question Doesn't Make any sense
I'll not Going Deep into technical details But this is what I know.

All stuff In Our universe came After Bing bang and Not moment before.
space,Matter,Energy and Even time all those Existed after Big bang during Plack's Epoch,nothing was there Before BB

In Addition,there was no time before BB For your the so called Creator to Create

In that sense,Our Universe is self-creator,Pop into Existence without cause
so Don't Ask for cause of the Universe Again..!

Hahaaa.....unajitahid, Ila bado sana. Asante mkuu Eiyer kwa maswali makin.
 
Supernova is Real Lakini siyo chanzo cha Ulimwengu.
Halafu ukiwa unafikiria kuhusu Ulimwengu weka Common sense pembeni.

Hakuna Mlipuko in Outer space
Kwasababu Mlipuko ni sauti,sauti inahitaji Hewa ili isikike
Lakini kwenye Space Hakuna Hewa.
Lakini si kwamba sauti haipo ila haiwezi kusafiri.

Chanzo cha ulimwengu ni nini???
 
Hahahaahaa.

You sound like me there!

Ifikie mahali binadamu tukubali tu kuwa mpaka sasa kuna mambo hatuyajui ila tunajitahidi kwa kiasi fulani kuutafuta ukweli wake.

Hizo habari za bing bang kwangu haziingii kabisa akilini.

Kwa sababu mpaka sasa hatuujui ukweli ndo maana huwa tunadhani na kusadiki tu juu ya mambo flani flani.

Mimi nimeshakubali kuwa binadamu mpaka sasa kuna mambo hatuyajui lakini kutokuyajua huko hakutufanyi ndo tuache kabisa kuendelea kujaribu kuutafuta ukweli.

Kaka haya ndio aina ya mawazo au muono unaleta aman ya akili....ingawa muono wako haujasaid upande wowote but umejielezea position yako vizur, ukiangalia kwaundani majibu yote yanoyoelezea hoja apo juu, iwe kwa wale wanaoside dini zaid kuelezea na wale wanaoelezea wakiside sayansi utagundua Imani ndio basis ya maelezo yao...So hapa inategemea majibu yapi hasa yanayo leta aman ya akili na roho, majibu ambayo yatatokana na kazi ya mwanadam(sayansi) hakika lazima yatakizana na hayatoi majibu yote yanayohitajika kwasababu tafti nyingi sana bado zinaendelea, nakuboreshwa....kujibu maswali machache mno juu ya kazi kubwa sana sana sana, aliyoifanya MUNGU
 
Back
Top Bottom