Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Mwl analipwa Million teena huyo umefanya kazi miaka zaidi ya 15+ Serikalini kashakula msoto sana ndio anaanza kuishika Million, nimekujibu
Kada yenye mshahara mkubwa kuliko walimu ni Afya.

Kada zingine hazijatofautiana na walimu, tena zingine zimezidiwa.

Sema ualimu hauna marupu rupu, halafu wako wengi ndio maana wanaonekana sana.
 
Salary scale zao zinaendana na kada nyingi tu, sema hawana marupurupu na madili,
Ni kazi yenye laana pia ndio maana walimu wenyewe hawajitambui kudai haki zao na kubakia kuwa daraja kwa wanasiasa
Nb. Hata Balozi wa nyumba kumi anaweza kutoa tamko kwa mwalimu na kutishiwa pia
 
Kada yenye mshahara mkubwa kuliko walimu ni Afya.

Kada zingine hazijatofautiana na walimu, tena zingine zimezidiwa.

Sema ualimu hauna marupu rupu, halafu wako wengi ndio maana wanaonekana sana.
Mshahara wa kwanza wa Mwl mwenye Shahada ni upi na Mshahara wa kwanza wa Mwl mwenye Stashahada ni upi? Tusizungumzie Master's na hapa tunaongelea Walimu yaan Teacher's sio Tutor's
 
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao Haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha

Walikuwa wanaitwa ma afisa kwa level mbalimbali akatokea mpumbavu mmoja alidhani atadumu milele kwenye hiyo kada. Akasema waitwe⁴ walimu daraja A, B, C nk.

Sasa hawezi kujali kipato chao..

Kama wangekuwa wanajali serikali ingeingilia hilarious za cat kwenye benk, majumba mapato vs mwalimu
 
Back
Top Bottom