buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 728
- 1,352
nyingi sana, tena asiwaringanishe na waalimu, wana mshahara wa kawaida hata mwalimu anawazidi, but wana fursa zinazowabeba sana, kama kuachiwa vitip tip kibao na customers, mdogo angu ni teller, anakwambia per day sometimes anaweza kuondoka hata na 500k tips tu, sasa jiulize anakusanya sh napi mwezi mzima? sababu pia ye ni teller wa kudeal na watu wazitoHuyo teller ana fursa ya kukopa benki na akarudisha bila riba ..mwalimu vipi akope chaki!?? Unajua fursa wanazozipata hao watu wa benki!??