Kwanini kada ya ualimu inapewa mshahara kidogo?

Huyo teller ana fursa ya kukopa benki na akarudisha bila riba ..mwalimu vipi akope chaki!?? Unajua fursa wanazozipata hao watu wa benki!??
nyingi sana, tena asiwaringanishe na waalimu, wana mshahara wa kawaida hata mwalimu anawazidi, but wana fursa zinazowabeba sana, kama kuachiwa vitip tip kibao na customers, mdogo angu ni teller, anakwambia per day sometimes anaweza kuondoka hata na 500k tips tu, sasa jiulize anakusanya sh napi mwezi mzima? sababu pia ye ni teller wa kudeal na watu wazito
 
Mleta mada umekariri,twambie huo mshahara mdogo wa kada ya ualimu umelinganisha na kada zipi? Tutajie ndoo tuanzie hapo.Tanzania hakuna kada moja afya ambayo naona wengi ndoo linganisho lao.Tuna kada nyingi sana je unajua mishahara yao?
Mwl mwenye Bachelor anazidiwa na Nurse mwenye Diploma, pia anazidiwa na mtu wa TANESCO mwenye Certificate, pia anazidiwa na mtu wa TANAPA mwenye Diploma,
 
Halafu una watoto wawili wanasoma EM. Each 2m.
Yeah inawezekana..wawili 4ml kwa mwaka , wewe kwa mwaka sh ngapi karibia 14ml, ukitoa 4ml inabaki 10ml wastani wa laki 9 kwa mwezi..mishahara ya wengi..
 
Walimu amna akili na ni wapumbavu sana ...labda useme kwanini wapumbavu kwenye kada zingine wanalipwa mshahara mkubwa tofauti na walimu
Pumbavu mamako huyo kahaba mbobevu
 
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao Haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
Kuimba " jua lile literemke mama" na watoto wa shule ni sawa na kuandika code za php, css, java script, sql, python na html ili wewe ukija hapa jf uweze kucomment na xamp au wamp server ikaweka kumbukumbu, kipi kigumu?....
 
Wanalpw kawaid na chin ajir znngen za tamisemi wao wamekosa fursa za kupg ela ndan ya kaZ
 
Wakilipwa pesa nyingi, nani ataishangilia CCM? Walima ni ndugu moja na UVCC, UWT. Lazima walipwe kidogo ili CCM iendelee kuwatumia.
 
Mei 1...is cominggg...πŸ˜…πŸ˜…
Tuwe na subra
 
Pumbavu mamako huyo kahaba mbobevu
Haya ndiyo maalimu mapumbavu yanayo waambia wanafunzi kwa nini mmepeta 100% kwenye mtihani wangu kwani tulitunga wote 😁😁😁😁walimu wapumbavu wanaotumika kama toilet paper za ccm kipindi cha uchaguzi
 
Huyo mdogo wako naye ni muongo muongo tu yupo bank gan kwanza na hizo tips anazipokeaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…