Wakili ndiye muwakilishi sahihi katika legal matters, ni muwakilishi sahihi katika kusikiliza, kutetea, kupokea, au kukubali au kukataa. Hiyo bodi wana uelewa wa aina gani? Ni vyema pia wangesema maamuzi yao yamekuwa moved na sheria ipi hapo TFF?Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa shauri hilo kwakuwa sio CEO wa Yanga aliyekwenda kusikiliza shauri hususu pingamizi husika. Je, nani yuko sahihi hapo, kamati au yanga?
Ushindi wa uwanja vipYanga wanashinda mashauri yao yakienda kusimamiwa na CCM. Lakini sio TFF, CAS au FIFA. Huoni hata kesi ya Darby mpaka imepelekwa Chamwino ndio wakashindishwa! Hao ni ushindi kama ule wa Nape tu ndio waweza!
Kama Kamati ya uchaguzi ilitaka lazima CEO ndio aende yeye, ingekuwaje kama CEO angeacha kazi yanga kabla ya siku ya kuitwa haijafika?Wakili ndiye muwakilishi sahihi katika legal matters, ni muwakilishi sahihi katika kusikiliza, kutetea, kupokea, au kukubali au kukataa. Hiyo bodi wana uelewa wa aina gani? Ni vyema pia wangesema maamuzi yao yamekuwa moved na sheria ipi hapo TFF?
Nimeuliza "Sheria" unaongelea "Kama" , kama ulikuwa hayfahamu ni kwamba Mwanasheria ni muwakilishi sahihi kwenye legal matters, hata kama mhusika asingetokea. Kungine CEO ni nafasi ndani ya Club, ndiyo maana muweka rufaa ni Yanga siyo Ntine. Hata lingekuwa jambo binafsi bado Wakili ni mtu sahihi ku attend legal mattersKama Kamati ya uchaguzi ilitaka lazima CEO ndio aende yeye, ingekuwaje kama CEO angeacha kazi yanga kabla ya siku ya kuitwa haijafika?
Lini Yanga iliishawahi kushinda shauri lolote la kisheria zaidi ya kubebwa na siasa? Niambie Moja tu!Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa shauri hilo kwakuwa sio CEO wa Yanga aliyekwenda kusikiliza shauri hususu pingamizi husika. Je, nani yuko sahihi hapo, kamati au yanga?
Yanga ni timu ya Mpira tunashinda uwanjani ndo maana amekufunga mara 5 mfululizoLini Yanga iliishawahi kushinda shauri lolote la kisheria zaidi ya kubebwa na siasa? Niambie Moja tu!
Sawa. Hongereni sana. Twambie na mafanikio yenu CAF Champions League msimu huu yakaje?Yanga ni timu ya Mpira tunashinda uwanjani ndo maana amekufunga mara 5 mfululizo
Huko mahakamani shindeni nyie mawakili wa serikali
Tumecheza mashindano makubwa ya CAF CL sio kama mbumbumbu aliyecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mamaSawa. Hongereni sana. Twambie na mafanikio yenu CAF Champions League msimu huu yakaje?
Sawa. Mlifika wapi na mlivuna shilingi ngapi na Simba alivuna shilingi ngapi? Pia mli accumulate points ngapi na Simba alipata ngapi kwenye CAF CLUB RANKINGS Msimu wa 2024/2025?Tumecheza mashindano makubwa ya CAF CL sio kama mbumbumbu aliyecheza mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Simba ni timu ya akina kinjikitile gwale, unatumia uchawi nje na ndani. Wanaposema kwamkapa hautoki mtu wanamaanisha vichwa vya mbuzi na vidole walivyochimbia uwanjani na mbinu nyingi za ndani ya chumba cha kubadilisha ngu cha timu ngeni.Sawa. Hongereni sana. Twambie na mafanikio yenu CAF Champions League msimu huu yakaje?
Sitabishana na asiyejua mpira.Simba ni timu ya akina kinjikitile gwale, unatumia uchawi nje na ndani. Wanaposema kwamkapa hautoki mtu wanamaanisha vichwa vya mbuzi na vidole walivyochimbia uwanjani na mbinu nyingi za ndani ya chumba cha kubadilisha ngu cha timu ngeni.