pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,524
- 4,928
Wakate rufaaTFF uhuni mwingi, mapingamizi huwa yanasikilizwa na wanasheria kwakuwa huwa yanahusu kasoro za sheria za jambo fulani.
Hakuna ushahidi unaotolewa kwenye kusikiliza pingamizi na kulazimisha mtu asie wakili atetee hoja zake huku ana wakili ni sawa na kumnyima haki yake ya kusikilizwa.
Kesi haitoishaWakate rufaa
Yanga sio law firm bali Yanga ni timu ya mpira ndo mana inaongoza kuchukua makombe na kuwafunga makoloLini Yanga iliishawahi kushinda shauri lolote la kisheria zaidi ya kubebwa na siasa? Niambie Moja tu!
Ahahahahaha! Makombe ya wapi? Kama ya ndani, sawa. Mko vizuri. Vipi Africa. Kuna anayewajua? Ahahahahaha!!Yanga sio law firm bali Yanga ni timu ya mpira ndo mana inaongoza kuchukua makombe na kuwafunga makolo
Ila ya CRDB FA CUP ndio makubwa kuliko ya CAF Confederation Cup sio? Nimekusoma!!Mashindano ya CAF confederation ni ya kiwango cha chini kabisa katika ukoo wa mashindano ya CAF
Mashindano ya TIFF ya NBC na CRDB yapi ni makubwa na magumu?Ila ya CRDB FA CUP ndio makubwa kuliko ya CAF Confederation Cup sio? Nimekusoma!!
Ahahahahaha! Na ndio maana Simba inafanya vizuri kimataifa kwasababu ina washabiki na viongozi wenye akili na maono ya mbali. Nyie wenye maono ya kucheza na Fountain Gate kisha mkaenda kula punda, hongereni! Hii inaonesha ni kwanini nyuma mliweka mwiko! Kumbe una matumizi yake! Ahahahahaha!!!Mashindano ya TIFF ya NBC na CRDB yapi ni makubwa na magumu?
Penda mpira kwanza kabla ya kuipenda timu yako, utapata Raha na uwezo wa kuishauri timu yako unayoipenda. Mashabiki wa Yanga wanapenda mpira kuliko Yanga yao, hivyo kama mpira hauchezwi hawana mswalie mtume na kiongozi Wala mchezaji asiyefanya vizuri. Hiyo ni tofauti na Simba ambayo imejaa watu wasioweza kuikosoa timu yao.
Mfano, kama mtajidanganya kuwa timu yenu ni nzuri kwakuwa imecheza finali ya FA ya CAF mmekwisha. Mnajua wenyewe ni kwa vipi timu yenu imefika final ya CAF confederation na imekuwa ya pili kwenye ligi ya NBC.
Ilichofanya kamati ni kuzuia kwa namna yoyote kamati isiweze kusikiliza na kujadili ilo shauri kwakua wakilisikiliza boss wao Wallec Karia hana pakujificha.Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa shauri hilo kwakuwa sio CEO wa Yanga aliyekwenda kusikiliza shauri hususu pingamizi husika. Je, nani yuko sahihi hapo, kamati au yanga?
Tangu lini Utopolo wakajua namna bora ya kufungua kesi?Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa shauri hilo kwakuwa sio CEO wa Yanga aliyekwenda kusikiliza shauri hususu pingamizi husika. Je, nani yuko sahihi hapo, kamati au yanga?
Akili kama hizi msimu ujao mtapata tabu sana tena, maana kulee yuko Gamondi, ng'ambo ilee yuko ibenge na huku yuko Mokwena. Fadlu mtamchukia bureeeAhahahahaha! Na ndio maana Simba inafanya vizuri kimataifa kwasababu ina washabiki na viongozi wenye akili na maono ya mbali. Nyie wenye maono ya kucheza na Fountain Gate kisha mkaenda kula punda, hongereni! Hii inaonesha ni kwanini nyuma mliweka mwiko! Kumbe una matumizi yake! Ahahahahaha!!!
Ila wao wanachojua ni kuwafunga makolo mfululizo na kuchukua ubingwa mfululizoTangu lini Utopolo wakajua namna bora ya kufungua kesi?
Na kuvizia wachezaji wanaoachwa nao wawasajili wawe vyura rasmi.Upo maridadi sana kichwani.Ila wao wanachojua ni kuwafunga makolo mfululizo na kuchukua ubingwa mfululizo