Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Maandamano ni ya wananchi utekaji ni wa kwaoKwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.
Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.
Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Huna haja ya kutukana... Mali hiyo iliyopetea inafikia Trilioni 1.8 kama zile alizosema CAG kwamba zimeibwa na watumishi wa umma?Tupoteza Mali msenge wewe,
Mwenzako Robert Heriel Mtibeli amefungwa siku tano ili Maandamano yasitokee ila wakati watu wanatekwa yeye alikuwa anaongeza resho ya msosi.Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.
Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.
Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si sawa watu kuandamana kuuliza ni kwa nini watu wanatekwa na kuuawa?
Uharibifu wKama maandamano yenyewe ndo hayo ya tarehe 29 basi hayana tofauti na utekaji maana vote ni uharifu ulio vuka mipaka.
Kilicho tokea tarehe 29 ulikuwa ni uharifu mkubwa na hakuna serikali yeyote ile duniani ambayo ingeuvumilia.Uharibifu w
Kwa hiyo uhai wa watu huna thamani kuliko hizo Mali?Kilicho tokea tarehe 29 ulikuwa ni uharifu mkubwa na hakuna serikali yeyote ile duniani ambayo ingeuvumilia.
Kwa ivo umeelewa mada lakini? Kabla ya maandamano kulikuwa na utekaji na uuaji. Wewe uliona juhudi za kulaani ?Kilicho tokea tarehe 29 ulikuwa ni uharifu mkubwa na hakuna serikali yeyote ile duniani ambayo ingeuvumilia.
Mali zinatafutwa, vp kuhusu uhai?!.Tupoteza Mali mjinga wewe,
Hawawezi kupigia kelele utekaji na mauaji kwa kuwa wao ndo wanafanya hayo.kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.
Wewe nawe una mali gani kenge weweTupoteza Mali mjinga wewe,
Kama mali sio kitu mbona hamkuchona nyumba za baba zenu na ndugu zenu badala yake mkaenda kuchoma mali ambazo mnajua aziwahusu?Kwa hiyo uhai wa watu huna thamani kuliko hizo Mali?
Kama mali ni rahisi kuzitafuta mbona ww ulishindwa kuzitafuta badala yake ukaenda kuziiba?Mali zinatafutwa, vp kuhusu uhai?!.
Chawa akili kisoda kama mwenyekt wenu!