Pre GE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na huo ndio mwanzo wa ubabe, fitina, kuhasimiana, ugomvi, na mwishowe talaka tatu. Kuna mmoja alirusha dongo zito eti bundi ametua kwa majirani.

Angalau Zitto alionesha ukomavu akastaafu. Hovyo ana ka uhalali la kusema hivyo. Mbowe ajifunze kitu kutoka kwa Zitto.
 
Mama alisema huyu ni simba na unajua kitisho cha simba! Kila mdudu katishiwa maslahi yake yani so attack lazima! Ila simba alisema internet warriors hawamnyimi chembe ya ucngz alishindwa jiwe itakuwa hawa fomfoo?

Kweli kabisa mkuu. Lissu ni Simba Tena hatari.
 
Inakuhusu nini, wewe umeshindwa mangapi? Acheni kuleta ujinga kwenye taasisi zinazoendeshwa na katiba, watu mnashupaza shingo wakati hamjawahi ongonza ata Nyumba kumi ,pumbavu

Kumbe kugombea nafasi CHADEMA ni ujinga?. Sikujua Hilo.
 

Nakuunga mkono Asilimia mia mkuu. Siwezi ongeza chochote. Umeongea ukweli wote.
 
Kelele lazima ziwepo ,Lissu ni msomi na Mzee Mbowe alifeki elimu ya sekondari ndio maana hakuweza kuendelea na masomo ya elimu ya juu .
 
Mbowe dikteta kama Putin, kajimilikisha chama kama chake binafsi, kisa baba mkwe. Mbowe hata angekuwa raisi angeng'ang'ania madaraka. CHADEMA wakimrudisha Mbowe hawana haki ya kudai Katiba Mpya ya nchi.

Kweli kabisa mkuu. Ni udhaifu mkubwa Sana CHADEMA inaonesha. Haitaki mabadiliko ya ndani inataka mabadiliko ya nje ya chama.
 

Kweli kabisa mkuu. Mbowe angestaafu kwa heshima zote. Aachie kizazi kingine kiendeleze mazuri yake.
 
Gentleman,
kwanza kabisa Lisu has no numbers to beat Mbowe whether the elections will be conducted this year or next year.

Lisu has no such muscles.

Lakini ile muhimu zaidi,
Lisu anajadiliwa sana kwasababu ya ile tamaa na uchu wa madaraka ako nayo.

Lisu anajadiliwa sana kwasababu ile makelele na mdomo ako nayo.


Lisu anajadiliwa sana kwasababu ya ile political blindness ako nayo, hana mpango kabisa wa kuwin the support of members who can vote for him.

Can you at least say,
katika kanda 10, lisu anaweza kupata support ya kanda zaidi ya moja kweli?

kua muungwana tu 🐒
 

Nadhani machawa wa Mbowe ndio wameanza haya malalamiko zamani Sana kabla hata Lissu hajatangaza kugombea uenyekiti. Kuna kipindi Lema alisema wazi kwamba Lissu alishatangaza hatagombea uenyekiti hivyo aheshimu Hadi yake.
 

Kweli kabisa. Nadhani Kambi ya Mbowe ndio inayopiga kelele Sana kuliko hata ya Lissu.
 
Zitto hakuondoka wakati mmoja na akina Prof Mkumbo. Zitto alifukuzwa mapema kabisa. Akina Mkumbo waliondoka majuzi baada ya chadema kukodishwa kwa Lowassa ili agombelee urais. Hapo ndipo kundi kubwa tuliondoka.

Ndio nafahamu kuwa Zitto aliondoka mapema, ila akina Prof Mkumbo, Anna Mghwira, Msando, Rithe etc walimfuata hata kabla Lowassa hajaingia CHADEMA. Ndio maana nikasema waliondoka naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…