Pre GE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

Pre GE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Swali la msingi je Lissu kavunja katiba kwa kugombea if yes awajibishwe if no hakuna kutia huruma kura zitaamua tuone kama neno demokrsia kama litasadifu yaliyomo .
 
Eti Lissu kalipiwa ukumbi na Msigwa,
Kwani ukumbi bei gani. Msigwa mwenyewe njaa kali kakimbilia CCM kujiokoa
 
Mbowe ikiwa atagombea kama nilivyodokezwa kuwa itaita press yake soon, itakuwa ni aibu kubwa sana Kwa kushinda kutambuw alama za nyakati.

Ingefaa apumzike wakati Bado anaheshima kubwa.

Vinginevyo cdm itapoteza heshima na itapasuka hakuna namba.
Mwisho...Ufike wakati tuukubali uiweli
Wewe nani kakudokeza
 
Eti Lissu kalipiwa ukumbi na Msigwa,
Kwani ukumbi bei gani. Msigwa mwenyewe njaa kali kakimbilia CCM kujiokoa
Hayo mabwabwa pamoja na kutumia tiss yameshinda kujua ukumbi nani kagharamia yamebaki kupiga ramli huku huyo msigwa amepauka Hadi nyumba yake inataka kupigwa mnada Kwa kushindwa kulipa madeni Leo amlipie lissu kama sio akili za kishoga ni Nini.
 
Sawa agombee ila na nyie wafuasi wake msipite na huo upepo wa kwa vile amekiongoza chama kwa muda.mrefu hawezi tena kupata mpinzani ndani ya chama kama mnavyofanya, wengine mmeenda mbali kumfansnisha mbowe na Nyerere ili tu kumpa green tick Jesus! Ndio maana na sisi tunakuja na fear of unknown....wagombee wote ila msitu influence ujinga ujinga
Mbowe amesimama hadharani na kutangaza kuwa kila mwanachama ana haki ya kugombea uenyekiti. Hajasema kuwa atagombea au la. Lakini watu kwa uoga au kwa nia ya kuleta mpasuko katika chama chake wanakazania kumpambanisha na Lissu. Kumkataa Lissu sio dhambi kama wengi mnavyotaka tuamini.

Amandla...
 
Habari wanajamii.

Tangu Lissu atangaze Nia ya kugombea uenyekiti kumetokea kelele za kila aina. Mara ni kirusi ndani ya CHADEMA, mara anafadhiliwa na Msigwa, mara anampango wa kuhamia CCM nk. Kila mtu anasema la kwake.

Nikawaza, Kwanini kelele zimekuwa nyingi kwa Lissu baada ya tangazo lake la kugombea uenyekiti tofauti na Wenje alipotangaza kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA.

Kumbuka ya kwamba Wenje alitangaza kuitaka nafasi aliokuwa nayo Lissu. Lakini hakuna aliyemshukia Wenje kwamba ni msaliti au kirusi ndani ya CHADEMA Kwa kutaka nafasi ya anayoshilia Lissu.

Hii sintofahamu inaonesha labda watu walidharau tangazo la Wenje au walimwona ni dhaifu kupambana na Lissu kwenye umakamu Mwenyekiti. Hivyo wakampuuzia. Ila kwa Lissu wamepiga mayowe labda kwa sababu Lissu ana ushawishi ndani ya CHADEMA na anaweza kushinda nafasi hivyo au Lissu anawanachama wengi wanaomuunga mkono kiasi kwamba akifanyiwa figisu anaweza kuhama na kundi kubwa Kama kipindi kile Cha akina Zitto Kabwe na wenzake akina Prof Mkumbo.

Muda utasema na kutoa majibu.
CHADEMA isimame kama CHADEMA ikitambua ya kwamba umati mkubwa wa watanzania unawasapoti tena kwa asilimia 90 ya watanzania wote waliochoshwa na upumbavu wa CCM usio na uwezo wa kujirekebisha.Nia ya CHADEMA haipaswi kuyumbishwa na ulafi na tamaa za viongozi wachache wa CHADEMA wanaokutana na maadui wa CHADEMA na kufanya nao vikao vya siri tena visivyopenda maendeleo ya CHADEMA na ukombozi wa TAIFA HILI la Tanzania dhidi ya uhuni na udhalimu wa CCM na viongozi wake uliotamalaki na uliojaa kiburi cha kijinga kilichojaa wizi wa kura na kupoka mamlaka halo ya wananchi.Kamwe CHADEMA isiruhusu mtego huo wa kipumbavu.
 
Kuna kitu unakisahau. Mimi napinga Mbowe kugombea kwasababu alishatangaza kwamba angestaafu mwaka 2023, hivyo kumfanya makamu wake kuingia ulingoni kugombea nafasi hiyo. Hivyo tunapinga yeye kugombea Tena maana alishatangaza kustaafu.
Hapana hiyo ni visingizio tu, Msimtafutie Lisu huruma kirahisi hivyo, mwacheni atengeneze base yake naye aende kwenye uchaguzi akiwa na 30% ya ushindi. Mki mlea hivyo, awe anashinda kirahisi rahisi tu kama TLS, na leo Chadema, hawezi kuwa kiongozi mzuri kwa kutegemea kupewa tu kila siku.

Aache kulia lia, afanye kampeni za kugombea nafasi anayoitaka. Hakuna asiye jua alipigwa risas, hakuna asiye jua sasa ni mlemavu, aache excuses.
 
Back
Top Bottom