Pre GE2025 Kwanini kelele kwa Lissu na sio kwa Wenje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hivi wanaolalamika ni wafuasi wa Lissu au Mbowe. Maana tangu Lissu achakue fomu kelele zimekuwa nyingi dhidi yake. Si ulimsikia yule mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya.
 
Naomba nikuulize swali. Kati ya Mbowe na Lissu nani ana uchu wa madaraka.
 
Hivi wanaolalamika ni wafuasi wa Lissu au Mbowe. Maana tangu Lissu achakue fomu kelele zimekuwa nyingi dhidi yake. Si ulimsikia yule mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya.
Wengi wa Lisu wanataka apite bila kupingwa, yule wa Mbeya wanamuona ni MJINGA kwasababu anataka Mbowe agombee.

Campaign ni haki ya kila mgombea, lazima ujenge ushawishi ili kupigiwa kura, na wote wana wafuasi.
 
Nadhani machawa wa Mbowe ndio wameanza haya malalamiko zamani Sana kabla hata Lissu hajatangaza kugombea uenyekiti. Kuna kipindi Lema alisema wazi kwamba Lissu alishatangaza hatagombea uenyekiti hivyo aheshimu Hadi yake.
Tunapotaka Demokrasia, tuikubali ikija na kwetu. Tusivunje haki za wengine ili kumlinda mpendwa wetu.
 
Wengi wa Lisu wanataka apite bila kupingwa, yule wa Mbeya wanamuona ni MJINGA kwasababu anataka Mbowe agombee.

Campaign ni haki ya kila mgombea, lazima ujenge ushawishi ili kupigiwa kura, na wote wana wafuasi.

Kuna kitu unakisahau. Mimi napinga Mbowe kugombea kwasababu alishatangaza kwamba angestaafu mwaka 2023, hivyo kumfanya makamu wake kuingia ulingoni kugombea nafasi hiyo. Hivyo tunapinga yeye kugombea Tena maana alishatangaza kustaafu.
 
Naomba nikuulize swali. Kati ya Mbowe na Lissu nani ana uchu wa madaraka.
Ni lisu,
kwasasababu wewe ni mtu wa aina gani asubuhi utangaze kugombea umakamu mwenyekiti, tena kwa mbwembwe sana ukiapa kamwe huwezi kuthubutu kugombea nafasi anayogombea Mbowe kwasababu mmetoka mbali na mnaheshimiana sana,

halafu jioni,
unakana maneno yako unaamua kutangaza kugombea uenyekiti kamili. Dah, hiki ni kiwango cha juu sana cha uchu na tamaa ya madaraka gentleman πŸ’
 
Tunapotaka Demokrasia, tuikubali ikija na kwetu. Tusivunje haki za wengine ili kumlinda mpendwa wetu.

Hatuvunji Demokrasia mkuu. Tunachotaka ni Lissu atendewe haki ndani ya chama dhidi ya influence ya mwenyekiti Mbowe.
 
Kwa hivyo Lissu kugombea uenyekiti ni uroho wa madaraka. Lakini Mbowe kuka kwenye uenyekiti miaka 22 sio uroho wa madaraka. Kuwa mkweli kabisa. Mroho ni yule asiyetaka kutoka kwenye kitu baada ya kukaa kwa muda mrefu.
 
Mbowe ikiwa atagombea kama nilivyodokezwa kuwa itaita press yake soon, itakuwa ni aibu kubwa sana Kwa kushinda kutambuw alama za nyakati.

Ingefaa apumzike wakati Bado anaheshima kubwa.

Vinginevyo cdm itapoteza heshima na itapasuka hakuna namba.
Mwisho...Ufike wakati tuukubali uiweli
 
Mkuu umena vizuuuuuri πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€
 
Mkuu yatakuwa yale yale ya CUF, UDP, NCCR na TLP.
 
Sasa wewe unatuletea kelele za uvccm ili tufanyeje?
 
Mkuu, unasahau wana ccm na cdm ni watanzania.
Wanasimba na wanayanga ni watanzania.

Hizo ni tabia na asili yao. Hivyo usitarajie sana utofauti.
 
Mti wenye matunda.......
 
CCM ilishakufa, sema inashikiliwa na Dola.
Usemi wa wajinga huu,mtaendelea kutawaliwa na ccm hadi kiama ,mnakuwa chawa wa wajinga waliofeli elimu ya sekondari(Lema,Sugu,Wenje na Mzee Mbowe) ,mnatagemea hawa wajinga hawajui hata maane ya neno mkakati ndio wachukur nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…