ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Resource CurseUkimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yeti nibya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Acha ubishiSio kweli ..
Tanzania ina vivutio vingi sana na mbuga kubwa kuliko wao sema sisi utangazaji wa vivutio vyetu upo chini na ni gharama sana kutembelea baadhi ya mbuga kwa sababu ya umbali karibu Tanzania sehemu yote unayoiona imezungukwa na mbuga ya wanyama kuanzia kusini huko mpaka Kaskazini.una uhakika kwamba umewazidi kwa vivutio? tanzagiza tunadanganywa mambo mengi sana ...
Kenya ni maarufu kuliko Tanzania Duniani. Sababu ni nyingi tu.Wazungu gani hao unaowauliza…..
Tanzania ni prime tourism tourism destination kwa sasa.
Numbers zinasupport hili
Tanzania ina vivutio vingi sana na mbuga kubwa kuliko wao sema sisi utangazaji wa vivutio vyetu upo chini na ni gharama sana kutembelea baadhi ya mbuga kwa sababu ya umbali karibu Tanzania sehemu yote unayoiona imezungukwa na mbuga ya wanyama kuanzia kusini huko mpaka Kaskazini.
Kwa upande huu uko sawa…..Kenya ni maarufu kuliko Tanzania Duniani. Sababu ni nyingi tu.
Chache
1. Post independence wageni hawakufukuzwa/hawakukimbia.
2. Lugha
3. Kufanya vizuri michezo kimataifa kumewafanya wahulikane zaidi. Mtu akiskia athletics kwa Africa taifa la kwanza Kenya
4. Wakenya wapo wengi nje ya nchi kuliko watanzania[sina data ila nadhani nipo sahihi] imesaidia pia.
5. Mrengo wa nchi toka wanapata uhuru walijitanabaisha na mataifa ya kimagharibi na hadi leo umeona Kenya akipiga kura UN ni tofauti na sisi. Haya mataifa ndiyo yenye wasafiri wengi.
6. Obama amewabeba pia.....Obama ni moja ya watu maarufu saana Duniani.
7. Makampuni mengi ya ndege kutua Jomo Kenyata....
Mkuu ngoja tubadilishane baadhi ya vitu inawezekana kweli sijui ila mimi nachojua Tanzania tuna vivutio vingi sana kushinda Nchi nyingi tatizo hatuna vifaa bora vya usafirishaji wa hao wageni angalia kodi ya Land Cruisers hao wa Namibia na Botswana au SA wao gharama za vitu vinavyohusiana na utalii vipo chini sana hata baadhi ya mbuga zao zina bara bara ya lami na Toyota hilux mtu anaenda nayo porini tofauti na sisi kwetu zinatakiwa gari ngumu kutokana na bara bara zetu ila sio kweli kwamba Namibia watuzidi idadi ya wageni mkuu hapana ingawaje nao wanafanya vizuri kwenye hiyo sekta.karibia kila tulichonacho wanacho pia kwa namna moja au nyingine, narudia tunadanganywa sana, isitoshe kila nchi ina upekee wake hapa duniani, mfano namibia inapata watalii wengi per head klk hata tanzagiza napo utasemaje? ...
Hili lipo wazi. Kenya tumeizidi sana kwa vivutio vya utaliiuna uhakika kwamba umewazidi kwa vivutio? tanzagiza tunadanganywa mambo mengi sana ...
Hivi ni kweli Kenya imetuzidi miundombinu?Wanatuzidi Lugha, miundombinu bora, ufanisi wa huduma, professional hospitality na pia Kenya ni free and open society.