Zanzibar ni Tanzania
Kamwe hatujawahi kutangaza utalii wa Tanganyika pekee, kama ungetaka fair comparison ya Tanzania Mainland pekee na Kenya basi Tanganyika na Zanzibar zisingeungana tangu 1964. Tanganyika ingebaki kivyake na ingetangaza utalii kwa namna yake halafu leo ndio tungefananisha na Kenya
But the fact that Tanzania ni nchi moja ambayo inahusisha Tanganyika na Zanzibar tangu 1964 huko, your argument is so unfair and pointless. Kwa nini uanze kupunguza watalii wa Zanzibar sasahivi, make it make sense