Hiyo ni Nairobi nimekuwekea.Kisumu haiko Nairobi ilipo Jomo Kenyatta international airport
Na unatakiwa kujua Dar ni kubwa mara mbili ya Nairobi.
Hiyo ni Nairobi nimekuwekea.Kisumu haiko Nairobi ilipo Jomo Kenyatta international airport
Kukubaki akili yako.ilazwe, ni UJUHA hasa kwenye karne ya 21 unashinda kupata taarifa??Nimeekeuuliza kwanini umesema mibongo akili zao imelala fofofo? Nikakuuliza imelala au imelazwa fofofo?
Ukichukua 100M ya Kenya ukaja Tazanianitakuwa na thamani kubwa. Ndio maana hiyo 100M ya Kenya kuipata ninsawa na kupata zaidi ya 100M ukiwa TZ.Hio ni moja, mbili tumezungumzia Shillings ya Kenya na Tanzania ya Kenya ina thamani ya juu sana yaan mimi leo nikienda nikachukua million 100 ya Kenya nikija Tanzania sio mwenzio wewe ukisimama pale na Million 100 yako ya Tanzania, sasa ukajibu kiwepesi tu kua eti haina maana sana mkuu hivi jibu gumu hivyo unalijibu kiwepesi wepesi tu kwamba haina maana sana? Are you serious?
Hahhaaaaaaa we jamaaaKenya huduma zote zipo haswaa mbususu ni zakuokota kenya tifaut na hku kwetu mpaka uimbe mashairi ya kutosha
Misri mbali, Zanzibar Wana beach tu, Ila inapokea watalii wengi sanaMisri wana mapiramidi na historia za mafarao tu ila ndio nchi ya tatu kwa kupokea watalii wengi Africa.
Kwenye hivyo million 2.1 ya Tanzania, laki 5 walikuja kwa ajili ya Zanzibar, sio mbuga za wanyamaIla kwenye utalii wametuacha padogo. Kwa hiyo msijiachie saaana kuoverrate Kenya as if inapokea watalii milioni 10View attachment 3443351
Wabongo kweli ni mibongolala.Misri mbali, Zanzibar Wana beach tu, Ila inapokea watalii wengi sana
Wakenya sio mibongolalaWabongo kweli ni mibongolala.
Zanzibar haina separate Visa wala wizara mambo ya nje.
Ukisikia idadi ya watalii, ujue nin jumla Bara na Zanzibar
Wakenya Waliamshwa na NJAA.Wakenya sio mibongolala
KLM hawjawahi kuacha kutua KIAWazungu wengi wanashukia Kenyata Airport Nairobi kwa sababu mwanzo KIA walikua na Tozo kubwa kuliko wenzetu ndio chanzo cha ndege nyingi kuukimbia uwanja wetu iliwafanya wageni wengi kushukia kule harafu tunawafata na shuttles/Coaster na kuwaleta Arusha ila kama wangeweka mazingira ya Tozo mazuri nadhani ndege nyingi zingeshukia hapa hapa KIA ingawaje sasa hivi KLM wameanza kutua hapo KIA.
Unamaanisha nini, hata huo ni utalii pia 🤔. Zanzibar ni kivutio cha utalii kilichopo Tanzania. Nani kasema utalii ni mbuga za wanyama pekee?Kwenye hivyo million 2.1 ya Tanzania, laki 5 walikuja kwa ajili ya Zanzibar, sio mbuga za wanyama
Nimekuelewa mkuu, sina haja ya kukuuliza maswali magumu maana naona unajibu kwa jazba sana na hunipi majibu ninayoyataka unajibu juu juu tuKukubaki akili yako.ilazwe, ni UJUHA hasa kwenye karne ya 21 unashinda kupata taarifa??
Jitu linakwambia linataka Wazungu wangekuwepo, kwamba Nyerere alikosea kuwakuza. Hapo utasema limelazwa au ujuha wa kurithi.
Jitu linakwambia Nyerere alikosea angeacha tuzungumze Kiingereza, unajiukiza hili senge limeshindwa kujifuznaKiingereza, linategemea Nyerere angekuwepo alipachikie kichwani??
Ukichukua 100M ya Kenya ukaja Tazanianitakuwa na thamani kubwa. Ndio maana hiyo 100M ya Kenya kuipata ninsawa na kupata zaidi ya 100M ukiwa TZ.
Ni sawa na kuchukua Tsh ukae da nayo Rwansa, Uganda au Burundi.
Ila ukiwa nayo hapa inakuwa kawaida, ninsawa na ukiwa na 100M ukiwa nayo Kenya.
Ubora wa sarafu ni nguvu ya MANUNUZI na siyo ukubwa wa sarafu.
Hata kushangaa dubwe la wachina kwa kiingilio cha 200 kwenye vijiwe ni utalii Tosha mkuu, umeeleweka vizuri, tubaki kwenye mada lakiniUnamaanisha nini, hata huo ni utalii pia 🤔. Zanzibar ni kivutio cha utalii kilichopo Tanzania. Nani kasema utalii ni mbuga za wanyama pekee?
Kama una majibu unayoyataka, yaseme.Nimekuelewa mkuu, sina haja ya kukuuliza maswali magumu maana naona unajibu kwa jazba sana na hunipi majibu ninayoyataka unajibu juu juu tu
Punguza jazba mkuu, pia jibu kiistarabu zaidi na sio kujibu kwa kujifanya kwamba unajua kila kitu, sio nataka ujibu ninavyotaka mimi majibu unayotakiwa uyatoe huyatoi kisa ukiulizwa unasema sitaki kujibu siasa, kila kitu unachoona kina maendeleo au hakina maendeleo chanzo ni siasa, kwa hio siasa haikwepeki suala la kumuongelea Nyerere tu tayari ushaingia kwenye siasa, sasa ukipelekwa huko unatoka nduki na kujibu kwa hasira, unamjibu nani kwa hasira, nimekuuliza kwanini umesema mibongo akili zao zimelala fofofo? Umejibu km mtoto wa darasa la 2C nikakuchora nikajua tu hapa najadili jambo na mtu anaejua vitu kwa kipimo hajui kila kitu ila anajua kidogo na anajigamba kwa kile kidogo anachokijua na kujiona as if anajua sanaKama una majibu unayoyataka, yaseme.
Na hapa sioni maswali magumu, noana mtu anayekaza fuvu tu.
Nchi nyingi unajikuta visa unaifuata Nairobi, wametuzidi weledi(professionalism) na maarifa.Hivi Australia ana ubalozi wake Tanzania kweli? Kwa Kenya nina uhakika 100%
Nini kifanyike hapo kwenye professional sio ndio pale kwenye uwinga kwamba ukikamata unakula asilimia kadhaa?Nchi nyingi unajikuta visa unaifuata Nairobi, wametuzidi weledi(professionalism) na maarifa.
Namaanisha utalii kwa Tanzania bara ni mdogo sana ukilinganisha na Kenya, hUnamaanisha nini, hata huo ni utalii pia 🤔. Zanzibar ni kivutio cha utalii kilichopo Tanzania. Nani kasema utalii ni mbuga za wanyama pekee?
Watalii wengi wanaofika Zanzibar hawaishii Zanzibar, wanatoka wanakuja kuangalia maeneo mengine ya Tanzania pia. The very same touristsNamaanisha utalii kwa Tanzania bara ni mdogo sana ukilinganisha na Kenya, h