silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Kenya inapendwa kwa sababu walifuata mfumo wa kibepari walipopata uhuru tofauti na Tz, lakini pia kihistoria Kenya ilikua ni settler colonial country ina maana wazungu wengi walikua wanaishi kabla ya uhuru na baada ya uhuru hawakubughudhiwa wala kutaifishwa mali zao, wakati yaliotokea Tz nyote mnayajua watu walinyanganywa mali zao kwa kisingizio cha ujamaa, lakini viwanda vingi vilitaifishwa na kupelekea hali ngumu ya uchumi na wageni wengi kukimbia.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yeti nibya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Ndio maana wahindi wengi wameanza kujenga miaka ya karibuni wengi walikua wanapanga.