Nairobi ni ndogo sana, na imejaa kila mkenya anataka kukaa Nairobi. Ndip maana imejaa sana na kusababisha foleni kubwa.Nyie wakati mnashangaa flyovers enzi za Magufuli Kenya walikuwa nazo tangu enzi za Kibaki, halafu Kenya majimbo mengi tu yana flyovers tofauti na bongo ambapo ni Dar tu.
Jomo Kenyatta Airport ulikuwa uwanja mkubwa kimataifa kuliko Dar es Salaam muda mrefu sana.
Kenya ndio imekuwa nchi ya kwanza kuwa na SGR Africa Mashariki.
Ndio maana serikali ikaanza kujenga highways na Flyovers Nairobi.