Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Walibakia wamasai km kivutio na wenyewe wakawaingilia kwamba wanaharibu hifadhi hawatakiwi kuishi na Wanyama Ngorongoro wakawatimua wote, waliobakia ni wale jamaa wa kule maporini Wahadzabe ndio kivutio cha mwisho mwisho na chenyewe wanaenda kukipoteza very soon watawaambia watoke kule maporini wanaharibu mapori kwa kunya bila kua na vyoo kwa hio watakufa na magonjwa ya mlipuko waje wasome shule wawe mtaji wa Serikali baada ya hapo vivutio vyote vitakua vimeishaNamaanisha utalii kwa Tanzania bara ni mdogo sana ukilinganisha na Kenya, h
Sijasema mimi ameniambia Baba Ndubwi