Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

customer care uko sahihi kabisa.

Hivyo vingine, nadhani neno nzuri ungesema MATAPELI.
Promotion za kitapeli?
Strategic Marketing za kitapeli?

Funguka zaidi tukuelewe hapo
 
Ninashawishika na hoja yako kwamba utalii wa kuangalia wanyama sio that deal kwa nyakati za leo...

Kwasabu kama ni wanyama wapo kwenye nchi zote za tropical region...
Wapo Zambia, wapo Zimbabwe, wapo Nigeria, wapo Togo nk

Sasa Ili kumshawishi mzungu asiende kumtazama tembo ivorycoast au Benin unafanyaje.

Yupo mkuu humu katwambia Morocco na mauritius zina watalii maradufu kuliko sisi.....Morocco wana ngamia tu.
Mauritius wana fukwe tu.

Kwahiyo wanyama sio dili tena.
Zanzibar haina hao wanyama na inapata maelfu ya watalii kuliko Mikumi.
Wanyama hawajawahi kuwa dili kubwa sana kuvutia watalii wengi. Nchi zinazoongoza kuvutia watalii duniani wakati wote wala hazina na hazijawahi kuwa na wanyama wa aina nyingi kama Tanzania. Nchi zinazoongoza kwa utalii duniani ni US, Ufaransa, Spain, Ujerumani, Italia, Uturuki, Ugiriki, Japan, Mexico na Thailand, kwa Africa ni Morocco, Africa Kusini, Misri, Algeria na Tunisia.

Hizi nchi karibia zote utagundua zina historia na mabaki ya kale maarufu sana kama ya empires, Pyramids n.k, zina hali ya hewa ya meditarania au joto muda wote, zina utamaduni maarufu wa mavazi, lugha, dini, chakula n.k, zina maendeleo makubwa sana pia.
 
Hakuna kitu Kenya inaizidi TZ
Ungetaja vitu ambavyo Tanzania inaizidi Kenya pakubwa ukiondoa thamani ya shillings hapo usiguse maana utachekwa na wenye mapengo, kitaje kimoja kimoja kwa kuzingatia muda ungetaja km vitu 20 angalau au 30, vitaje tu usielezee wala nini
 
Wazungu gani hao unaowauliza…..
Tanzania ni prime tourism tourism destination kwa sasa.
Numbers zinasupport hili
Screenshot_20250817_174716_Chrome.jpg
 
Promotion za kitapeli?
Strategic Marketing za kitapeli?

Funguka zaidi tukuelewe hapo
Screenshot_20250730_094757_X.jpg


Kenya wana shirika la ndege, Kenya Airways ambalo limefanya vizuri kwa muda mrefu na ndege zao zinaenda Ulaya na US.

Wakenya wanadanganya wazungu kuwa watawaleta Kilimanjaro, Serengeti, Zanzibar, Ngorongoro na Tarangire.

Wakishawafikisha Jomo Kenyatta Airport kwao, wanataka wawabebe na magari yao ya kitalii wawalete Serengeti.

Ndio maana TZ ilipiga marufuku magari ya utalii ya Kenya kuingia mbugani Tanzania.

HUko ni kudanganya watalii wala siyo marketing. Ni utapeli.
 
Hizi nchi karibia zote utagundua zina historia na mabaki ya kale maarufu sana kama ya empires, Pyramids n.k, zina hali ya hewa ya meditarania au joto muda wote, zina utamaduni maarufu wa mavazi, lugha, dini, chakula n.k, zina maendeleo makubwa sana pia.
Hot water springs zipo ngapi Tanzania?
 
Ungetaja vitu ambavyo Tanzania inaizidi Kenya pakubwa ukiondoa thamani ya shillings hapo usiguse maana utachekwa na wenye mapengo, kitaje kimoja kimoja kwa kuzingatia muda ungetaja km vitu 20 angalau au 30, vitaje tu usielezee wala nini
TZ ina nchi, Kenya hakuna nchi.

Kenya hawajapata Uhuru.

TZ mna ardhi, Kenya ardhi ni ya wazungu na wanasiasa.

Masikini wamepanga kwenye nyumba za mabati.

Thamani ya shilingi ni hoja ya kizuzu kwa wasiojua.
 
View attachment 3444297

Kenya wana shirika la ndege, Kenya Airways ambalo limefanya vizuri kwa muda mrefu na ndege zao zinaenda Ulaya na US.

Wakenya wanadanganya wazungu kuwa watawaleta Kilimanjaro, Serengeti, Zanzibar, Ngorongoro na Tarangire.

Wakishawafikisha Jomo Kenyatta Airport kwao, wanataka wawabebe na magari yao ya kitalii wawalete Serengeti.

Ndio maana TZ ilipiga marufuku magari ya utalii ya Kenya kuingia mbugani Tanzania.

HUko ni kudanganya watalii wala siyo marketing. Ni utapeli.
View attachment 3444296
Hapo kwenye kusafirisha Watalii na kuwaambia kwamba vya Tanzania ni vya Wakenya kwa hio wasiogope watapita tu kweli wamefanya vibaya ndio maana hata ile ya kuja na magari yao kusomba vitunguu mpaka mbogamboga huko mashambani wamepigwa pin sasa, hapo nimekuelewa naomba uniambie utapeli mwingine wa Wakenya wanaowatapeli watalii ukiondoa huo wa kuwaongopea kuwaleta na magari Tanzania kirahisirahisi tu
 
TZ ina nchi, Kenya hakuna nchi.

Kenya hawajapata Uhuru.

TZ mna ardhi, Kenya ardhi ni ya wazungu na wanasiasa.

Masikini wamepanga kwenye nyumba za mabati.

Thamani ya shilingi ni hoja ya kizuzu kwa wasiojua.
Jibu zuri mkuu sasa naomba uniambie km tunawazidi kila kitu kwanini thamani ya shillings ya Kenya ni kubwa sana kuliko ya Tanzania kwanini shillings 10,000 ya Kenya ni sawa na shillings 1,000,000 ya Tanzania? Km sijakosea

One million Kenyan Shillings (KES) is equal to approximately 20,143,125.38 Tanzanian Shillings (TZS) as of today.
 
Hapo kwenye kusafirisha Watalii na kuwaambia kwamba vya Tanzania ni vya Wakenya kwa hio wasiogope watapita tu kweli wamefanya vibaya ndio maana hata ile ya kuja na magari yao kusomba vitunguu mpaka mbogamboga huko mashambani wamepigwa pin sasa, hapo nimekuelewa naomba uniambie utapeli mwingine wa Wakenya wanaowatapeli watalii ukiondoa huo wa kuwaongopea kuwaleta na magari Tanzania kirahisirahisi tu
Wakenya ni wahuni na matapeli.

Ila mibongo akili zimelala fofofo.


View: https://youtu.be/7oTPTOotoWk?si=Vzw4CY5JoJ34YxcY
 
Jibu zuri mkuu sasa naomba uniambie km tunawazidi kila kitu kwanini thamani ya shillings ya Kenya ni kubwa sana kuliko ya Tanzania kwanini shillings 10,000 ya Kenya ni sawa na shillings 1,000,000 ya Tanzania? Km sijakosea
Thamani ya sarafu ya TZ kuwa chini, tuliamua wenyewe ili kivutia wawekezaji hasa wa viwanda kwasababu wakiuza nje wanapata faida.

Hata Nigeria pesa yao ilikuwa juu kwasababu wanauza sana mafuta, ila nchi imepata sana madeni, IMF wameshauri washushe thamani ya pesa yao na wameshusha na sasa ina thamani sawa na TZ.

Tuna amiba kubwa ta dhahabu, hata tukitaka pea yetu iwe thamaninsawa na dola tunaweza, inaitwa pegging.

Ila hakuna cha maana sana. Muhimu ni nguvu ya manunuzi ya pesa husika
 
Wakenya ni wahuni na matapeli.

Ila mibongo akili zimelala fofofo.
Fungua maelezo mkuu fungua maelezo kinachohitajika hapa ni kufungua maelezo wapi akili zilipolala fofofo? waamshe waliolala
 
Thamani ya sarafu ya TZ kuwa chini, tuliamua wenyewe ili kivutia wawekezaji hasa wa viwanda kwasababu wakiuza nje wanapata faida.

Hata Nigeria pesa yao ilikuwa juu kwasababu wanauza sana mafuta, ila nchi imepata sana madeni, IMF wameshauri washushe thamani ya pesa yao na wameshusha na sasa ina thamani sawa na TZ.

Tuna amiba kubwa ta dhahabu, hata tukitaka pea yetu iwe thamaninsawa na dola tunaweza, inaitwa pegging.

Ila hakuna cha maana sana. Muhimu ni nguvu ya manunuzi ya pesa husika
Hapo chini mkuu sijakuelewa kwenye mstari wa Mwisho hapo sijakuelewa, hakuna cha maana sana unamaanisha nini? Na huku unasema mibongo imelala fofofo unamaanisha nini mibongo imelala fofofo au imelazwa fofofo?
 
Naomba unitajie 4 hio ya 5 ungenitajia km bonus

Eastern Zone​

1.Kisaki geothermal Site
Kisaki geothermal prospect is located within Selous game reserve and Mikumi National Park, Morogoro rural district in Morogoro region, Eastern Tanzania.
The prospect is within the sedimentary basin of the Rufiji basin in Eastern arm of the East Africa Rift System (EARS). After the reconnaissance studies, detailed exploration work is currently underway to unlock and develop the geothermal potential of the area.
2.Luhoi geothermal Site
The prospect is found in Rufiji district, Coast region, on eastern coast of Tanzania Mainland.
The prospect falls in the sedimentary Rufiji basin in the ‘Karoo’ rift extending to the Eastern Coast of Tanzania. This prospect falls within the area where oil and gas exploration work has been conducted, and preliminary investigation from oil and gas exploration borehole data, has identified the potential of geothermal resource existence in the area.
3.Utete geothermal site
The site is located approximately 22km south east of Luhoi geothermal prospect, in utete village in Rufiji district, Coast region at the end part of the tributaries of Rufiji River, the hot spring is enclosed by short brick walls.
The area is within the Rufiji river basin and is characterized by sandstones a characteristic of depositional environment of a river.
4.Mtende geothermal site
The area is located within the Selous game reserve in Morogoro rural district, Morogoro region. The spring is outflow from the Mtende river bank.
The geothermal site falls within the Rufiji basin on the Eastern branch of the East Africa Rift System.
5.Tagalala geothermal site
The site is located in Morogoro district, Morogoro region, at the mouth of the Tagalala River within Selous game reserve.
The area falls within the Rufiji basin on the eastern branch of the east Africa rift system. The area is dominated by well exposed dolomitic sandstones with elephantiac texture within the river channel.
 
Naomba unitajie 4 hio ya 5 ungenitajia km bonus


Lake Zone
1.Ibadakuli geothermal site

Ibadakuli geothermal site is located in Usogole Village, Ibadakuli ward, Shinyanga Municipal in Shinyanga region. The area has various springs extended along seasonal Chemu River at a distance of about 700 meters.

Ibadakuli geothermal site lies within the sukumaland greenstone belt in the Archean Nyanzian Greenstone belt of Lake Victoria goldfield. The area is a lowland and swampy, dominated by alluvial sand, with significant composition of quartz, as a result of weathering of felsic units, probably from basement complex of granitoid.

2.Mtagata geothermal site

The site is located in Rwabigaga village in Kamuli ward, Mabira division, Kyerwa district in Kagera region. It is said in the early days the people paid the Chief of Karagwe a fee for bathing; this fee being reduced for some years after the German occupation, and was finally abolished altogether by the German authorities (Grant C.H.B).

Mtagata area lies within the Karagwe-Ankolean Proterozoic mobile belt of western Tanzania, unconformable overly the sheared granitoid of Archaean Craton of Tanzania to the northwest. It is located east of western limb of the East Africa Rift system

The spring is out flowing from fractured, steeply dipping well interbeded quartzite i.e. Mtagata quartzite trending NW-SE; the fractured quartzite is parallel in contact with steeply dipping sheared phylite?, observed at the foot of Mtagata hill, where there is notable boulders of conglomerate.

3.Musoma - Majimoto geothermal site

Majimoto site is located in Majimoto Village, Ngoremi ward, Serengeti district in Mara region. The area has been explored for helium gas previously during colonial time and in recent history by Tanzania Oxygen Limited in 1996.

The area is located in the southern part of the Musoma - Mara greenstone belt, which is among the late Archean greenstone belts that make the northern segment of the ArchaeanCraton of Tanzania. The hot springs upwelling from alluvial sediments in a ‘saucer like’ shaped area surrounded by series of hills in a form of a ring, Mwitangubo hill on the north-western side of the area being the highest.
 
Naomba unitajie 4 hio ya 5 ungenitajia km bonus

Southern Zone
1. Ngozi geothermal Site

Ngozi geothermal prospect is located partly within Poroto forest reserve in Rungwe and Mbeya rural districts in Mbeya region, southwest Tanzania.

It falls within the Quaternary Rungwe Volcanics Province at southern triple junction of East Africa Rift System, where Eastern and Western arms intersect (Nyasa rift- to the south, Usangu rift to the North East and Rukwa rift- to the North West). The area is characterized by young volcanic cones and the main volcanic feature being Ngozi Caldera Lake.

This is the most advanced project in terms of geoscientific studies conducted so far, whereby it suggests huge potential for Electricity generation and direct use applications of geothermal resource. Exploration drilling is expected to commence in financial year 2016.

2. Songwe geothermal Site

These fields are located on the left bank of Songwe River, approximately 30Km west of Mbeya City.

Quaternary volcanic rocks are widely distributed in the fields, where NW -SE trending faults are well developed. Multiple hot springs and white travertine sinter occur in fissures with a similar trend running parallel to the fault.

The hot springs and travertine cover the total area of about 40 Kilometer square. The travertine is more than 10 m thick at its thickest within the quarry site. The microstructure of the layer within travertine shows the colloform texture that is developed under the precipitation process at the surface. The base of the travertine is composed of Cretaceous sandstone and mudstone.

3. Kiejo Mbaka geothermal Site

This field is located on the left bank of the river, approximately 30 km southeast of Rungwe Volcano. Travertine accumulates where the hot springs gush out from the hillside and riverbed.

Quaternary basic volcanic rocks are widely distributed in the field, where NW-SE trending faults are well-developed. Hot springs up welling from fissures in a similar trend, with localized river, over a distance of more than 200 meters.

4. Mampulo geothermal Site

This field is located in Mampulo Village, Kyela district in Mbeya region, where the hot springs up welling from fractures in the conglomerate.

There is dominance of Conglomerate and pebbly sandstone, in which NW-SE trending faults are well-developed and dominant in the field. The hot springs are derived from NE-SW trending fissures.

5. Mapu geothermal site

The area is located in Katavi region, south west Tanzania, within the Rukwa trough in East Africa Rift System. There is no significant geoscientific studies conducted in the area.

6. Mbarali geothermal site

The area is located in Mbarali district in Mbeya region. The Mbarali geothermal prospect is located in Usangu basin thick sedimentary rock. The structural setting of the area comprises of fault lineaments trending NW-SE.
 
Fungua maelezo mkuu fungua maelezo kinachohitajika hapa ni kufungua maelezo wapi akili zilipolala fofofo? waamshe waliolala
Siyo wasafiri. Wao wakiona maghorofa Kenya wanamlaumu Nyerere.

Wanataka mpaka angeacha wazungu
 
Naomba unitajie 4 hio ya 5 ungenitajia km bonus

Northern Zone
1.Natron geothermal Site

The field is located within Ngaresero village around Lake Natron in Arusha region, Northern Tanzania near the Kenya border. The Lake is fed by Southern EwasoNg’iro River which arises from central Kenya. The lake covers a maximum of 57 km long and 22 km wide where in the western shore of the lake comprises by multiple hot springs while the eastern side comprises multiple of warm springs.

Natron Geothermal field is within the eastern branch (Gregorian rift) of the East African Rift. It is dominated by Cenozoic volcanic, consisting of basaltic lava flows which are sub-vertical on the more recently faulted western margin. The active volcanic activities in the area are the presence of the recent Shimo la Mungu crater, eruptive of OldonyoLengai Mountain (last eruption in 2006) and the volcanic cones

2.Eyasi geothermal site

This field is located on the Eastern side of Lake Eyasi which is a shallow endorheic Salt Lake on the floor of the Great Rift Valley at the base of Serengeti plateau south of Serengeti National Park and immediately south of Ngorongoro caldera in the Eyasi- Wembere sub-rift branch of East Africa Rift System.

The geology of the site is dominated by gneiss basement rocks that are distributed in the field. The basement rocks are associated with NE-SW trending lineaments which seem to be a fault due to presence of a well-developed scarp.

3.Manyara geothermal site

The site is located on the western side of Lake Manyara in the Lake Manyara National Park in Arusha Northern Tanzania.The field is located in the eastern arm of the East Africa Rift System. The geology of the site is dominated by gneiss basement rocks that are distributed in the field. The basement rocks are associated with NNE- SSW trending lineaments which seem to be a fault due to presence of a well-developed scarp.

Lake Manyara is associated with different minerals including the olive green clays likely to be bentonitic in composition which occur in association with other lacustrine sediments. These bentonites were formed as a result of volcanic ashes alteration when deposited in saline water of Lake Manyara.

Radiocarbon dates from four diatom horizons indicate ages ranging from 12 Ka to 135 Ka suggesting a Mid-Holocene age. Middle Pleistocene ages have been assigned to the ridged oncolites of Lake Manyara. The olive green colored clays in the Manyara basin are known to occur in association with other lake beds including phosphorite deposits, stromatolites, bioturbatedsilty clays, partly silicified marls, conglomerates and olive green colored opal beds.

4.Ngorongoro crater geothermal site

Ngorongoro caldera is located in Ngorongoro Conservation Area about 180 Km west of Arusha region, Northern Tanzania. It is believed to be the world’s largest inactive, intact and unfilled volcanic caldera recognized as one of the seven natural wonders in Africa.

The field is located within the Eastern branch of the East African rift system which runs from Lake Turkana in Kenya to Northern Tanzania. Ngorongoro is thought to have formed about 2.5 million years ago from a large active volcano whose cone collapsed inward after a major eruption, leaving the present vast, unbroken caldera as its chief remnant. It is 610 meters deep and its floor covers 260 square kilometers.

The seasonal Salt Lake at the center of the caldera is fed by Munge stream to the north and Ngoitokitok Spring. The field is characterized by Quaternary volcanic rocks and there are no documented structures in the area. Surface geothermal manifestations in the area include the hot springs which well up through unconsolidated scree deposits.
 
Back
Top Bottom