so what? hivi unajua hata ngorongoro ni nini? hiyo ni lift valley imeanzia ethiopia huko juu kupitia kenya mpka kwetu kuelekea kusini, kwa hiyo kwa akili yako unaona rift valley ilichagua tu kwetu? hata kuna mkoa maalumu kabisa kenya unaitwa rift valley unafikiri ni kwa nini?
isitoshe kila nchi ina upekee wake kama nilivyokwisha andika kuna mambo yako kenya ambayo watalii huyafwata ambayo tanzagiza hayapo na kinyume chake, mfano malkia elisabeth wa uingereza kabla hajawa malkia baba yake aliyekuwa king alifariki wakati malkia elisabeth akiwa holliday kenya hivyo umalkia ulimfika akiwa kenya, kuna waingereza wengi huenda kenya kutembelea hilo eneo na hiyo hotel na hivyo ni tourism huo ni mfano tu mdogo wa upekee wa kila nchi.
mnajidanganya sana kuamini kwamba tanzigiza pekee yake ndiyo ina upekee, hata common sense ilipaswa tu kukwambia kwamba hilo haliwezekani kama ni ziwa tanganyika lipo upande mwingine pia burundi, zambia na kongo sasa nani kakwambia kwamba ziwa tanganyika ni special kwa upande wa tanzagiza tu?
kuna watalii kwa mfano wanakwenda rwanda kwa sababu ya kuona gorilla tu ambao tanzagiza hakuna, wengine wanakwenda uganda kuona tu chanzo cha mto nile jinja, mto nile ni moja kati za mito muhimu duniani na chanzo chake kiko jinja uganda, mto nile umetajwa mara kadhaa kwenye Biblia takatifu na chanzo chake kiko jinja, uganda ...