Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Ninashawishika na hoja yako kwamba utalii wa kuangalia wanyama sio that deal kwa nyakati za leo...Utalii wa kuangalia Nyumbu na wanya umepitwa na wakati, hebu nendeni Zanziber June July muone number ya wazungu.. Mazingira ustaarab wa watu ni Muhimu..kisiwa cha Mafia kina minwya ila miongoni mwa vivutio vikubwa Tanzania. Jina wangebadirisha na likawa ( Coconut Island) hili la Mafia linatisha kidogo.
Kwasabu kama ni wanyama wapo kwenye nchi zote za tropical region...
Wapo Zambia, wapo Zimbabwe, wapo Nigeria, wapo Togo nk
Sasa Ili kumshawishi mzungu asiende kumtazama tembo ivorycoast au Benin unafanyaje.
Yupo mkuu humu katwambia Morocco na mauritius zina watalii maradufu kuliko sisi.....Morocco wana ngamia tu.
Mauritius wana fukwe tu.
Kwahiyo wanyama sio dili tena.
Zanzibar haina hao wanyama na inapata maelfu ya watalii kuliko Mikumi.