Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Easy language accession!,....Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Kmuulize BONGO ZOZO atakwambia nchi aipendayo ni ipi.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Wewe unaongea pumba tuZanzibar ni Tanzania
Kamwe hatujawahi kutangaza utalii wa Tanganyika pekee, kama ungetaka fair comparison ya Tanzania Mainland pekee na Kenya basi Tanganyika na Zanzibar zisingeungana tangu 1964. Tanganyika ingebaki kivyake na ingetangaza utalii kwa namna yake halafu leo ndio tungefananisha na Kenya
But the fact that Tanzania ni nchi moja ambayo inahusisha Tanganyika na Zanzibar tangu 1964 huko, your argument is so unfair and pointless. Kwa nini uanze kupunguza watalii wa Zanzibar sasahivi, make it make sense
Pumba kubwa hapa ni kutenganisha idadi ya watalii wa Zanzibar na Tanganyika ili ufananishe watalii na Kenya, I've never heard any idea dumber than this. What are you smoking btwWewe unaongea pumba tu
Kila kitu kina sababu yake, ukiona hivyo kuna mahala tunapakosea na hatutaki kuparekebisha mwisho wake ndio maana unajiuliza hilo swali. Jibu kuu ni tujitafakari wapi tumekosea tukubali kujirekebisha.Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm kwenye negotiations.. What's the extra about Kenya?
Pombe sio maji ya kunywa wallah 🤣🤣🤣Walibakia wamasai km kivutio na wenyewe wakawaingilia kwamba wanaharibu hifadhi hawatakiwi kuishi na Wanyama Ngorongoro wakawatimua wote, waliobakia ni wale jamaa wa kule maporini Wahadzabe ndio kivutio cha mwisho mwisho na chenyewe wanaenda kukipoteza very soon watawaambia watoke kule maporini wanaharibu mapori kwa kunya bila kua na vyoo kwa hio watakufa na magonjwa ya mlipuko waje wasome shule wawe mtaji wa Serikali baada ya hapo vivutio vyote vitakua vimeisha
Sijasema mimi ameniambia Baba Ndubwi
Wewe mwenye utaifa una lipi la ajabu la kuwavutia Microsoft, Meta, Fifa, Google. Barclays bank, IBM, Cocacola, Visa,n.k. kufungua regional offices Tanzania?Kenya hakuna utaifa.
Acheni kupumbazwa na media
We're not aggressive enough na mbaya zaidi tumejawa naubinafsi, unafiki na tumezama kushabikia ujinga na kuacha masuala ya msingi. Wakenya mambo yanayo husu mustakbar wa maisha yao kama bei za bidhaa, afya, elimu ,ajira na demokrasia hawamuachii mwingine awapiganie, hilo linakwa jukumu la kila mkenya na wanapamba. Hapa kwetu wanafunzi wakicheleweshewa bumu, au walimu wakicheweshewa/kunyimwa staiki zao au bei ya sukari au tozo zikiongezwa wanaomba msaada na kupenyeza vimemo kwa Chadema au Maria, utawasikia "Dada Maria tusemee hili".Sasa mbona Tanzania ikifanya hivyo unaponda? What's with the self hate?
Zinasaidia nini hizo BRANDS??Wewe mwenye utaifa una lipi la ajabu la kuwavutia Microsoft, Meta, Fifa, Google. Barclays bank, IBM, Cocacola, Visa,n.k. kufungua regional offices Tanzania?
Angalia link hiyo International Brands with Regional Headquarters in Nairobi
kenya wanamaisha ya kizungu sana. Usishangae unatunukiwa tundaHahhaaaaaaa we jamaaa
Hoja ya ovyooooUngeuliza why Thailand wanaizidi Kenya na Tanzania na South Africa...
Gharama ndo number one factor kwenye utalii