Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Thecoder

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,620
Reaction score
6,780
Hivi kwanini mtu anapoitwa kwenye public or sehemu yoyote then akawa hana uhakika kama ni yeye ndio anaeitwa akigeuka na kusema Mimi lazima kidole chake kielekee kifuani, iwe kwa kugusa kabisa kifua au ile kupoint juu juu?

Kwanini asiguse mkono, au kichwa au shavu au bega lake ila anagusa au anapoint hilo eneo la kifuani?πŸ˜…πŸ˜…...

Embu fanya kujaribu hapo kama unaitwa then unasema Mimi huku ukiwa umegusa sehemu nyingine tofauti na hapo kifuani... (Mimi nimeshika shavu nikabaki tu kucheka hapa)
 
Dah hyo ni kweli πŸ˜… labda ni vyepesi zaidi mkono ukiukunja kufika kifuani, la labda tunahisi ndio nafsi/roho ilipo
Utofauti wa kukunja mkono kuelekea kifuani na kuelekea shavuni au kichwani ukoje? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Na hiyo hoja ya pili sidhani kama yupo mtu hata mmoja ambae amewahi kufanya hivyo kwakuwaza hapo ndipo palipo nafsi ila nadhani kitu imetokea automatic tu
 
Mkuu kwani umewahi kujiuliza ni kwanini watu wakiona tukio la kuhuzunisha huwa wanaweka mikono kichwani πŸ˜€πŸ™†β€β™€οΈ
 
Mkuu kwani umewahi kujiuliza ni kwanini watu wakiona tukio la kuhuzunisha huwa wanaweka mikono kichwani πŸ˜€πŸ™†β€β™€οΈ
Au huzuni na mkono shavuni huwa vina uhusiano gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kama hiyo ya kusikitika haupangi ila unajikuta tu ukisema mama yangu na mikono ipo kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Au huzuni na mkono shavuni huwa vina uhusiano gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kama hiyo ya kusikitika haupangi ila unajikuta tu ukisema mama yangu na mikono ipo kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu inakuwa ni universal dunia nzima kila tamaduni wanafanya hivyo, hivyo itakuwa mambo ya kibaiolojia
 
Na ishara za namna hii ni ngumu kusema ni mazoea kwasababu haiwezekani Dunia nzima watu wote muwe na mazoea yanayofanana, na huwezi kusema ni ustaarabu kwakua hakuna sehemu au kitabu kinachofundisha hayo mambo bali ni ishara ambazo huja automatic, science inasemaje dosho12
 
Itakuwa mambo ya genetics, genetic memory nahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…