Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Au huzuni na mkono shavuni huwa vina uhusiano gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Kama hiyo ya kusikitika haupangi ila unajikuta tu ukisema mama yangu na mikono ipo kichwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna vitu vingi binadamu hua tunafanya bila hata kufikiria
 

UNATAKA AGUSE MAKALIO AKIULIZA MIMI? AU AGUSE KIUNO?
 
Umewahi kujiuliza pia kwanini mtu akihisi/akisikia harufu mbaya hutema mate?

Ni bora hata ingekua mtu akihisi harufu mbaya anatoa makamasi ingemake sense coz Pua ndio inayonusa na sio mdomo wala mate!
 
Umewahi kujiuliza pia kwanini mtu akihisi/akisikia harufu mbaya hutema mate?

Ni bora hata ingekua mtu akihisi harufu mbaya anatoa makamasi ingemake sense coz Pua ndio inayonusa na sio mdomo wala mate!
Labda ule ukali wa harufu anahisi utakua umechanganyika na mate yakeπŸ˜‚
 
Ila shem,, unazingua broh anajua upo humu, πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…