Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Mimi huwa nageuza kichwa tu kuelekea sauti ilipotokea!
Ila kama nakana jambo lakuzushiwa ndio naweza kugusa kifua. Wala sina sababu ni mazoea tu!.
 
Inamaana kubwa sana maana muonekano wako au moyo wako (mwili) kila sehemu inamaana yake mfano:-

1.Macho-ufahamu
2.Kifua-haki
3.Mikono-Uzalishaji
4.Kiuno-Nguvu
5.Miguu-Utayari

Hivyo ni baadhi kwa uchache,so unapoitwa ukajipoint kifuani maanake unauliza ni haki yako kweli umeitwa.
 
But watu hawajui haya ila hufanya hivyo pasipo dhamira yoyote... Kwamfano Mimi ndio nimepata somo kupitia hili andiko lako but mwanzo sikua najua hizi maana na hayo maeneo tajwa
 
But watu hawajui haya ila hufanya hivyo pasipo dhamira yoyote... Kwamfano Mimi ndio nimepata somo kupitia hili andiko lako but mwanzo sikua najua hizi maana na hayo maeneo tajwa
Yeah wengi hawajui ila wanaotumia nguvu za giza walikuwa wanajua ndo mana wengine wakitaka kukuibia nyota wanakushika mkono manake wameiba nguvu ya uzalishaji,au wanaiba nyayo manake wanaiba utayari kufanya mambo (maamuzi)
 
Enhee twende zaidi hapo, weka vitu kwenye eneo hilo ili tupate mawili matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…