Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Ulitaka ajiguse matako?
 
Enhee twende zaidi hapo, weka vitu kwenye eneo hilo ili tupate mawili matatu.
Moyo wako(muonekano) ndio umilele wako na ndo The source of life anakaa,so kama huna ufahamu ila unavitu vizuri ndani yako unakuwa kama mfu anaetembea na wale wenye maarifa ni rahisi kujua na kuviiba bila hata ww kujua.
 
Mkuu unaonekana una kitu cha tofauti... Why ukipata muda usiutumie kutuandikia kwa kina hii kitu ili tuokote okote.
 
Sababu kifua ni sehemu pana, center ya mwili, exposed na rahisi kuonekana kuliko sehemu yoyote ya mwili. Ndio sababu moyo, kiungo muhimu zaidi kipo hapo. Na hata wanajeshi hufundishwa kulenga kifua kwanza alafu kichwani baadae.
 
Ooh, okay... Eneo Pana, exposed na rahisi kuonekana, ni kama inamake sense... But kati ya kichwa na kifua ni wapi ukishika ni rahisi kuonekana haraka?
 
Ukiimba wimbo wa taifa mkono lazima uwe kifuani, s
Hatari๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hivi huwa ni kwanini? Au ni hali tu ya kuonesha kwamba unamaanisha kutoka moyoni kile unachokiimba? Na kumaamisha na moyo kuna uhusiano gani?
 
Ipo maana mtu akikushtua cha kwanza kushika ni hapo. Hivyo ni mazoea
Yeah hili la kushtuliwa ni sawa... So unamaanisha mazoea yamejengwa kupitia huo upande kiasi cha kuelekea watu waendelee nalo hata wakiwa wakiwa hawajashtuka๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hiyo huitwa body language/body gestures.
Hii ndio lugha ya awali ambayo kiumbe yeyote huizungumza na ni ngumu kudanganya kwasababu ndio halisia kwa viumbe wote.

Huwa haifundishwi namna ya kuzungumza kwasababu ipo wired kwenye ubongo tayari, bali wengi hujifunza namna ya kuielewa.

Kushika kichwa automatically inaleta maana nyingine mfano mtu anaweza hisi unafikiri jambo na kuvuta kumbukumbu za kina(kukuna kichwa), mshangao wa ghafla(kushika kichwa kwa mikono miwili), ukishika shavu italeta taswira ya huzuni, nk.

Lakini pia zipo ishara(gesture) bunifu ambazo watu wameamua kukubaliana tu na sio asilia.
 
Mkuu kwani umewahi kujiuliza ni kwanini watu wakiona tukio la kuhuzunisha huwa wanaweka mikono kichwani ๐Ÿ˜€๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ
Hiyo zamani mkuu kabla Smartphone hazijashika hatamu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Sasa hivi mikono inashikilia smartphone huo muda wa kuweka mikono kichwani haupo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ