Kwanini kifuani na si sehemu nyingine za mwili wako?

Kifua ni sehemu ya wewe!!! Mungu atujaalie maisha ya baraka
Ukijaaliwa baraka unataka laana aipate nani mkuu
Ni kama vile kupokea simu na unajikuta unasema "Hallo, Hallo" Hallooooooooooooo!!"
Inategeme na nani ananipigia, namba ngeni nitasikilizia kidogo halafu nitasema Hallo kama ulivyosema 🀣
Ila namba za washkaji nikipokea simu siwezi kusema Hallo, nasema tu Oya vipi 🀣🀣
 
Yeah wengi hawajui ila wanaotumia nguvu za giza walikuwa wanajua ndo mana wengine wakitaka kukuibia nyota wanakushika mkono manake wameiba nguvu ya uzalishaji,au wanaiba nyayo manake wanaiba utayari kufanya mambo (maamuzi)
Acha zako mkuu 🀣
 
Interesting... Ukipata wasaa fafanua hapo kwenye kuwa wired tayari kwa ubongo
 
Hiyo ni lugha ya alama inayotumiwa na watu wenye ulemavu wa kusikia na kuongea. Hivyo ni sahihi kugusa eneo hilo na mara nyingi hutokea hivyo ikiwa karibu na eneo husika usikivu ni mdogo.
 
Hiyo ni lugha ya alama inayotumiwa na watu wenye ulemavu wa kusikia na kuongea. Hivyo ni sahihi kugusa eneo hilo na mara nyingi hutokea hivyo ikiwa karibu na eneo husika usikivu ni mdogo.
Anhaa kwahiyo ilianzia huko then na sisi wengine ambao hatuna elimu na lugha za alama tukawa tunafuata uelekeo wa wengi sio?
 
Anhaa kwahiyo ilianzia huko then na sisi wengine ambao hatuna elimu na lugha za alama tukawa tunafuata uelekeo wa wengi sio?
Yawezekana ikawa hivyo lkn pia kinyume chake ni sahihi kwa maana kwamba ilipoonekana kuwa kwenye kelele watu hutoa ishara hiyo kumaanisha nafsi ya kwanza umoja ndipo na wataalamu wakaona waitumie kwenye lugha ya alama.
 
Ukiitwa ebu shika tako usikie yatakayo semwa...🀣
 
Nimekosea Mimi, nimekosa Mimi,nimekosa sanaa........(sala ya kuungama/kutubu) hata sisi hua tunajipiga kifuani wkt wa Sala hiyo, tafsiri yake ni kwamba nafsi ya mtu ipo maeneo hayo.
 
Mabega na kifua, mbona ina make sense kabisaa.
Bega naonaga mara nyingi mtu akiwa anakushtua wewe ndio lazima akushike begaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Ila wewe binafsi umewahi kujishika bega wakati wa kusema Mimi...?
 
Nimekosea Mimi, nimekosa Mimi,nimekosa sanaa........(sala ya kuungama/kutubu) hata sisi hua tunajipiga kifuani wkt wa Sala hiyo, tafsiri yake ni kwamba nafasi ya mtu ipo maeneo hayo.
Ooh, interesting...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…