Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Miaka 30 Mbunge mmoja😂😂😂Mbowe ana impact. Ni mti Wenye matunda.
Lipumba hamsemi coz wa kwenuOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patribas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa.
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Mbona CCM huwa inashindwa na haitaji kutoka madarakaniNimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Sasa unataka mtu Mzuri kama Peneza aje CCM tusimpatie cheo?Kingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?
Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
ulishawahi kufikiria kipindi ambacho mtu aliyetoa ml 900 JPM kuwanunua wabunge na madiwani bwana JPM ALIVYKUWA RAISI NA NIA YAKE OVU KWA CHADEMA KAMA MWENYEKITI ASINGEKUWA MBOWE INGEKUAJENimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Mmeanza kutoa majibu kidogokidogoSasa unataka mtu Mzuri kama Peneza aje CCM tusimpatie cheo?
Huu utakuwa ni ukichaa uliopitiliza.
Hata CCM imedumu Sana Tanzania na wananchi wenye akili tumeichokaIla ukweli usemwe. mbowe amedumu sana Chadwma
Umeongea kweli ila Ngoja waje wake zake wakushambulieOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patribas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa.
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
INAMAANA HAKUNA WENGINE KAMA NI HIVYO BASI HIKI CHAMA HAKIFAI MAANA NCHI INAONGOZWA NA WATU WENGI SIYO MTU MMOJA PEKE YAKEMbowe ana impact. Ni mti Wenye matunda.
AKA SACCOSSNdio matatizo ya chama cha familia
Akili kisoda CCM ni taasisi Mbowe ni mtuHata CCM imedumu Sana Tanzania na wananchi wenye akili tumeichoka
KUNA WABUNGE 19 WA VITI MAALUMU BUNGENI UNAJUA? NANI ALIWAPELEKA? UNAJUA KILICHOTOKEA KWENYE UCHAGUZUZI WA 2020? MAGUFULI ALIPATA KURA NGAPI ANDIKA HAPA? LISU JE? ANDIKA HAPA KWA VIELELEZO TOKA MNAYOIITA TUME YA UCHAGUZIulishawahi kufikiria kipindi ambacho mtu aliyetoa ml 900 JPM kuwanunua wabunge na madiwani bwana JPM ALIVYKUWA RAISI NA NIA YAKE OVU KWA CHADEMA KAMA MWENYEKITI ASINGEKUWA MBOWE INGEKUAJE
Ulishawahi kujiuliza kwamba waliowahi kuhama chama kwann wanaongea mwimbo mmoja tuu
Sasa tofauti iko wapi kati CCM na CHADEMA?Hata CCM imedumu Sana Tanzania na wananchi wenye akili tumeichoka
wanabadirishana uongozi maana kuna hazina kubwa ya viongozi safi sasa chadema hawana mtu mwingine wakimtoa mbowe wengine wote vilaza ndiyo maana ya kubaki na mbowe miaka yote wengine hawajitambuiSasa tofauti iko wapi kati CCM na CHADEMA?