FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Sema wewe iyo tofauti sasa kama ipoSasa tofauti iko wapi kati CCM na CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema wewe iyo tofauti sasa kama ipoSasa tofauti iko wapi kati CCM na CHADEMA?
wabunge 19 ni matokeo ya ufisadi wa chadema wale bora walienda maana mbowe alitaka kupeleka mademu zake wakashtuka kina dada wako bungeni safi sana aibu kwa mbowe hiyoKUNA WABUNGE 19 WA VITI MAALUMU BUNGENI UNAJUA? NANI ALIWAPELEKA? UNAJUA KILICHOTOKEA KWENYE UCHAGUZUZI WA 2020? MAGUFULI ALIPATA KURA NGAPI ANDIKA HAPA? LISU JE? ANDIKA HAPA KWA VIELELEZO TOKA MNAYOIITA TUME YA UCHAGUZI
Anaondoka anaenda wapi? Mpaka mteme ndoanoOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa.
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Daaah ila hiki Chama ni balaa aiseeNdio matatizo ya chama cha familia
Unamaanisha kama Mwenyekiti angekuwa Lissu Chadema ingekufa? Ni ukweli uliodhahiri kuwa CCM Imejichokea Tena hii tabia ya kupeana vyeo kwa kujuana ndioo imewakatisha vijana tamaa kabisaulishawahi kufikiria kipindi ambacho mtu aliyetoa ml 900 JPM kuwanunua wabunge na madiwani bwana JPM ALIVYKUWA RAISI NA NIA YAKE OVU KWA CHADEMA KAMA MWENYEKITI ASINGEKUWA MBOWE INGEKUAJE
Ulishawahi kujiuliza kwamba waliowahi kuhama chama kwann wanaongea mwimbo mmoja tuu
Sasa kama chama kina watu wote hawajitambui Kuna chama hapo? 😂ccm
wanabadirishana uongozi maana kuna hazina kubwa ya viongozi safi sasa chadema hawana mtu mwingine wakimtoa mbowe wengine wote vilaza ndiyo maana ya kubaki na mbowe miaka yote wengine hawajitambui
Nadhani hoja ya msingi sasa ni kwa Mh Mbowe kukabidhi kijiti kwa mwanachama mwingine. Hili linapunguza sana credibility yake na dhana nzima ya demokrasia.Kingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?
Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
nakubali ulichoandika sasa kwann tusi msupport TUNDU LIUSU?Unamaanisha kama Mwenyekiti angekuwa Lissu Chadema ingekufa? Ni ukweli uliodhahiri kuwa CCM Imejichokea Tena hii tabia ya kupeana vyeo kwa kujuana ndioo imewakatisha vijana tamaa kabisa
Ila lazima tukubali ili kuitoa madarakani CCM kinatakiwa chama Cha Upinzani imara kitakachowaaminisha vijana kuwa hiki ni tofauti na CCM
Mwanzoni kilianza CUF Watu wengi walikuwa na Imani na wakaona hiki chama ndio mkombozi wao lakini kadri muda ulivyokuwa unakwenda ndivyo watu walivyokuwa wanazodi kupoteza matumaini na kuona Bora zimwi likujualo
Hali hiyo watu kwa NCCR,TLP na Sasa CHADEMA Ukweli watu wengi tunapenda Upinzani kinachotuvunja moyo viongozi wetu wengi wa Upinzani ni masnich(wanafiki wakubwa)CCMB ila Nina Imani siku wakizaliwa viongozi wa kweli wa Upinzani CCM Inaondoka mchana kweupe sio hawa wachumia tumbo kina Mbowe,Lipumba,Zitto nk mpinzani wa kweli ila hana sapota ni TUNDU LISSU Peke yake hawa wengine ni wazee wa amsha amsha lakini hamna kitu
Yaani Punda amuachie kihongwe.Hao ni Bakari Ali na Beka Ali.Mbowe amwachie Lema
Chama la Wana hilo ulitaka amwachie naniYaani Punda amuachie kihongwe.Hao ni Bakari Ali na Beka Ali.
Kumbe Lissu ni chawa wa CCM😂Binafsi mbowe sioni tatizo lake isipokua kuna chawa kutoka uko ujanini wanaingia kwa lengo la kutaka nafasi kubwa ili kufanikisha malengo ya fisiemu ona cuf ya pro lipumba-vu ilivyohujumiwa
Kwn heche na lisu wameondoka?Kumbe Lissu ni chawa?😂😂
Kumbe Heche ni chawa?😂😂
Waliokihama CHADEMA walikuwa na lengo la kujinufaisha wenyewe ndani ya chama na ndo maana imekuwa rahisi kukimbilia CCM coz huko pesa ipo. Hawakuwa na maslahi na taifa zima Kwa sababu ndani ya CCM kuna dosari nyingi ambazo zinafahamika lakini Hilo kwao sio issue. Lengo ni pesa tu. Mbowe ni jasiri n lazima awe mkali pale anapoona Kuna tatizo, so mwacheni aendelee kukijenga chama, kakitoa mbali sanaaa!Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Usipende kuropoka. Lini Mbowe kafikisha miaka 30?. Ndio shida ya watoto wajuzi kujifanya wanajua kila kitu. Mbowe kapata uenyekiti mwaka 2004. So anamiaka 20.Miaka 30 Mbunge mmoja😂😂😂
Miaka 30 unaijua?. Usipende kuropoka .Nimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Wapo ila hawaaminiki kama Mbowe😂😂Kwn heche na lisu wameondoka?